Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,131
Sasa hawa jamaa baada ya kufika huko sisi tutafaidika nini?
Gari la kwanza lilipotembea batabarani... kwa sababu ..halikuwepo awali and hapakuwa na mtu mwenye xprience...na kitakachofuta badaye the same question was asked hili gari litatusaidi nini...anyway ni zamani sana.
Umeme ulipoanza kusambazwa ..kule kibamba wazee walisema ..hawakuwa na kazi yeyote nao kwani walikuwa hawajawahi kuutumia..na kujua thamani yake. Na kule mjini ulipo..kuna wezi so..usiletwe kwao kwani..utawalitea wezi..etc
Kisiwa cha ..kilivyogunduliwa...hakuna mtu aliyejua kitumiweje... kwani ..kwa wakati wote ..nchi ilikuwa inatosha......Itakuwa kugundua makazi mapya kwrnye MARS au kwnye Mwezi..etc.
Injini ya kwanza iliponza kufanbaya kazi..wagunduzi waliakatishwa tamaa ..vibaya sana..maana ..no body has an xprience ..ya kuwa itanyanyua..ustawi wa jamii kiasi gani...! Yes that is the challenges of technology! Awali kila mtu aliiona haina kazi muhimu.
Ukiwsililiza...watoa changamoto hizi..all reserach activities can be stoped maana wakati ule kitu kipya kinagunduliwa... kinaonekana hakina Kazi na ni usumbufu....MTUPU.. HIVYO SIO SAWA!
That is not the way to go. Resarch and development ..haviachani.