Marry your friend

Belinda na Masanja wa CRDB!

Hawa wakioana na wakipata mtoto, huyo mtoto atakuwa chautundu on steroids!

NI muunganiko wa herufi mbili BM - Belinda Masanja.

Hahahahhaahhahaaa yaani simpatii picha mtoto atavokuwa mtundu halafu mjanja kumzidi baba yake na mama yake......

Nawaza siku BM na mtoto wao wanacheza hide and seek, mtoto anajificha sehemu hiyo wanatafuta nyumba nzima hawamuoni...... kumbe yuko nyuma ya kabati katuliaaa tuliii anacheza game, keshasahau kama anacheza hide and seek na baba na mama yake hadi wazazi wanapiga simu 119 kuomba msaada mtoto kapotea baadae kanatoka nyuma ya kabati, mammy am hungry can I have some snack please 😌 looh.... wazazi hoii yeye hana hata habari.

Belinda Masanja # Upanga Restaurant.
 

Hahahaaaaaa!!

Umenichekesha kweli!!

I can see the kid doing that.
 
Haaaaa haaaa umenikumbusha kuna siku nyumbani katoto kanatambaa ghafula haonekani, tukaanza kutafuta kila kitu kikasimama, pembeni ya mlango kulikuwa mkeka umesimamishwa baada ya kuchoka kutafuta mtu 1 kauvuta ili akalie, laa jamani mtoto katulia kama vile chupa ya chai hana hata habari huku mama yake alisha anza kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itabidi nitafute rafiki wa kike tuzoeane wee halafu baada ya muda itapigwa friendly match
 
Hahahaha

Ulweso ebu niache napaliwa mwenzio
 
Hahahaaaaaa!!

Umenichekesha kweli!!

I can see the kid doing that.

Hapo baada ya mtoto kujitokeza wote B na M wako hoii kila mmoja anamtizama mwenzie kwa jicho la kama anasema..... this is you when you were young aahahahahhaaa halafu wote wanaangua kicheko na kumkumbatia mtoto.

Unamkumbuka yule mtoto aliyekwama kwenye kiti hawezi kutoka. Baba yake kahangaika kumtoa akawa analia, baadae amefanikiwa kutoka akawa anasikia aibu usoni dada zake na mama yake wakawa wanamcheka anakimbia Camera aahahahahahahhaaa.

Chapa BM ni supa toto tundu hehehehee.
 
Me ningependa kuuliza ..mbona wazazi (wazee)wetu wengi walikuwa wanasafiri vijiji vya mbali kwenda tafuta familia ambayo wanaodhesha binti yao


Na kweli mtu anamchukua binti ndoa inaanza hadi anniversary

So urafiki ulitoka wapi kabla?
 

Watoto raha sana, wanafanya kitu wakiwa hawana habari shida au hofu walioisababisha kwa wazazi wao heheehee.
 
Me ningependa kuuliza ..mbona wazazi (wazee)wetu wengi walikuwa wanasafiri vijiji vya mbali kwenda tafuta familia ambayo wanaodhesha binti yao


Na kweli mtu anamchukua binti ndoa inaanza hadi anniversary

So urafiki ulitoka wapi kabla?

Nahisi zamani mapenzi yalikuja kwa kuamini mzazi hawezi nichagulia galasha na soba jeuri ya kukataa. Hivo ndoa zilidumu maana hata kama mume hatompenda mke, mke alivumilia kulea familia maana ilikuwa aibu kurudi kwao ameshindwa ndoa.

Binti wa siku hizi baba na mama wanamwambia binti yao, ukiona maisha yamekushinda rudi nyumbani bado wazazi wako tunakuthamini tunakupenda na tutakupokea. Ndoa haziwezi kudumu....
 
Watoto raha sana, wanaangalia kitu wakiwa hawana habari shida au hofu walioisababisha kwa wazazi wao heheehee.
Yaani hali ya hewa ilibadilika dada kaja kutoka kwake kusalimia hivyo nyumbani pame changamka duu kila mtu kachanganyikiwa ingekuwa sasa watu wasiojulikana tayari wamesingiziwa ilikuwa taflani
 
Siku hizi unaweza vumilia mwishowe ukaja katwa kila wajinga mwenzangu, manyanyaso yakizidi nikukimbia tu
 
Hahahaha

Ulweso ebu niache napaliwa mwenzio
Yaani ni ukweli wengine tulikuwa tunajaza maji wenye kupika wengine ghafula
mtoto haonekani acha walio endesha waliendesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kumuona hana habari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…