Yapinategemea na msingi wenu mwanzo mmeuanzaje,
mnaweza mkaanza kama marafiki na msifikie kuwa na pendo lenye nguvu na mnaweza mkaanza kama wapenzi na mkafikia kuwa na pendo lenye nguvu.
Kunifikirisha jambo lisilonihusukwa nini mkuu?
Maana yake mtakuwa mshajuana in and out rahisi kumsaidia mwenzako pale anapokuwa down kujua hapa anaigiza na hapa kweli kaumia. Si rahisi ndoa kuvunjika kama kabla ya kuanza mahusiano urafiki ulikuwa wa kushibana. Hata akija kukukwaza kama mke/ mume na hisia zikiisha juu yake, atabaki kuwa rafiki yako.
Japo marafiki nao hugombana na kuwa zaidi ya maadui.
For sureNakuunga mkono kwa 100% kwa sababu mkiwa marafiki bila mipango ya kuoana au kuwa wapenzi mnakuwa na muda wa kujuana vizuri. Hamuambiani uongo wala kufichana raarifa fulani kuhusu maisha yenu kwa sababu hakuna maslahu yoyote kufichana. Kwa mfano kama uliwahi kuzaa, huna kazi ya kudumu, au ukiwahi kuoelewa/kuoa mtawekana wazi kwa kuwa ni marafiki tu. Hata tabia zenu na hobbies yote mtayaweka wazi kwa matendo na maneno. Sasa mnapoamua kuamzisha uchumba na hatimaye mkaonana yaani ndoa yenu itadumu sana kwa sababu mnafahamiana vizuri ni rahisi kuvumiliana.
But inaonekana kukiwa na urafiki kwanza foundation ya mapenzi yenu inakuwa tofali. Hii naipa nguvu zaidiinategemea na msingi wenu mwanzo mmeuanzaje,
mnaweza mkaanza kama marafiki na msifikie kuwa na pendo lenye nguvu na mnaweza mkaanza kama wapenzi na mkafikia kuwa na pendo lenye nguvu.
Mapenzi ya ujana kwangu hayana maana zaidi ya kuridhisha tamaa ya nafsiππππ Ni kweli, naona, inaonekana habari ya ndoa ikija kwako itakuwa inajaza matukio ya kalenda ya maisha yako
Pale sukari ya warembo wa JF inapotoa tamko![emoji16][emoji16][emoji16]inategemea na msingi wenu mwanzo mmeuanzaje,
mnaweza mkaanza kama marafiki na msifikie kuwa na pendo lenye nguvu na mnaweza mkaanza kama wapenzi na mkafikia kuwa na pendo lenye nguvu.