Nadhani maana ya kubuma inabidi ipitiwe upya. Sio tu kwa vile umeufuta wimbo kwenye kisimu chako cha Tecno p3, internal memory 127MB, memory card huna halafu hasira zako unakuja kumalizia huku. Eti habari ya mjini madawa ya kulevya, madawa wapi wewe kuwa mkweli sisi Watanzania ni ndugu tunasaidiana. Ona namba huwa hazidanganyi.