Diamond atabaki kuwa Diamond..
jamaa katufanya tuwe na cha kujivunia..
kafanya lisilowezekana kuwezekana[emoji20][emoji20]
kama sio yeye nani angetupeleka international[emoji24][emoji24]
nani angetufanya tujitutumue[emoji26][emoji26]
diamond pekeyake ... chini ya lundo la wasanii wapopo zaidi ya 20 walioko kwenye trend list anawaburuza bila woga....
Tutampata wapi kama diamond, jeshi la mtu mmoko...
haitatokea hata siku moja.. kuwepo hero kama diamond....
amefanikiwa kuweka rekodi zake Tanzania na Africa kama miongoni mwa wasanii wanaosumbua na wanaopendwa...
Mungu amuweke zaidi Diamond platnumz....
Heshima za magoti mawili yote zimfikie...
Anahamasisha sana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]