Ishu hapa siyo nani msafi na nani mchafu kwa kutumia majina mengi. Ishu ni kwa nini uwe na majina ya jinsia mbili halafu uwe unaanzisha mada na kujijibu wewe mwenyewe?
Hiyo ni tofauti sana na kuwa na at least consistency ya majina ya jinsia moja na kutoyatumia hayo majina kuanzisha mada na kujijibu wewe mwenyewe.
Wengine wana majina mengi kwa sababu ya kufungiwa fungiwa mara kwa mara na huwa hata hawajifichi kihivyo na hizo IDs zao zingine.
Kwa mfano mtu ukiwa na chembe hata ya akili utajua kabisa kuwa Bwa'Nchuchu ni nani.....
Hiyo ni kampani ya @C. T .U . . .i am so curious lol
Nilikuwa namnyali sana ndo akaamua kuja na gia hiyo sijui alijua nitamgwaya!
Msalimie Bwan'chuchu lol
Salaam zako nmezipata yakhe. Mambo yako swalama lakini?
The Boss mpaka mtu uwe na uhakika ndo utamtaja mtu hata kama ni kwa PM.Hebu ni pm bai id zake zote aisee lol
Sasa hivi anatuangalia tu kwa sababu anajua haijabaki moja!Na bado Id yake nyingine, tuki i merge na ile tutakuwa tumemaliza khabari yake
Angalia na wewe wasije wakaunganisha ids . . .wakaipoteza ile tuloizoea alafu wakaibakiza hii ya Bwa'Nchuchu! lolSalaam zako nmezipata yakhe. Mambo yako swalama lakini?
Angalia na wewe wasije wakaunganisha ids . . .wakaipoteza ile tuloizoea alafu wakaibakiza hii ya Bwa'Nchuchu! lol
Hahahaaaa! Hayo ndo matumizi mabaya . . . . .mbaya zaidi pale jamaa anapojifanya jike anatongozwa na anakubali alafu anatumiwa pesa za watu anakula!!! Ulishaisikia hiyo????Uzuri mie ni jinsia moja tu. Na sijawahi anzisha mada na kujijibu mwenyewe kwa kutumia majina tofauti na ya jinsia tofauti. Na asiyenijua humu kwa lile jina langu jingine basi huyo atakuwa special case:madgrin: Hebu imagine nijiite Flora halafu watu watangaze uchumba humu halafu ije ibumburuke kuwa Flora ni mimi. Hahahahaaa
Nilikuwa namnyali sana ndo akaamua kuja na gia hiyo sijui alijua nitamgwaya!
This has to be one of the biggest busts in JF's history.
This character went by the names of Mzungumndali and Marry Hunbig.
For all we know he/she could have other names in here but I'll leave that to the powers that be.
Mzungumndali was the mischievous one whereas Marry Hunbig projected a wholesome persona.
Some people hit on her (Marry) while others were hit on by him (Mzungumndali), all the while playing them for fools.
But things came to a head (on Saturday, Jan 26) when one moderator decided to merge the two names.
So on that day I open up the thread entitled "KIPIPI...Come this way Baby!" and I was like hmm, something is amiss here. What could it be? I wondered.
I couldn't quite put my finger on it right away. I eventually did, though.
What was wrong was the thread starter's name had suddenly changed from Mzungumndali to Marry Hunbig.
That's when I realized somebody got busted and I just burst out laughing.
What's so funny is how many people were fooled by this sleazeball.
But that's just the cyberspace for you. It's hard to really know who is behind that keyboard unless you know them in person.
All in all this shit is funny as hell. You just can't make it up.
Ofcoz halikuwa tongozo bali dhihaka tu . . . .na hapo alikuwa ananitafutia ban bahati nzuri namie nikamuangalia tu ili ajichoreshe mwenyewe!he he he, nyie watu mna mambo. Kutongozana hadi ID mpya kama viatu?
hahahah . . . .alafu unajua Maziwa Mgando mie sijamjuaga!!!
Ofcoz halikuwa tongozo bali dhihaka tu . . . .na hapo alikuwa ananitafutia ban bahati nzuri namie nikamuangalia tu ili ajichoreshe mwenyewe!
Pole . . . haukutumiwa PM ya kutishwa i.e kama ya kimoderator vile???? Maanake huo mchezo anao eti!Una ma akili kama mchwa, mie ilibidi J.pili nikimbie hata humu Jf maana PM ziliingia ila ID zote mupya, na PM moja ya Marry Hunbig yake ilikua ya kheri ila izo zingine zinanipa ID fake nikaona ili limeshakua sakata! Ikabidi nipotee tu kwanza
Pole . . . haukutumiwa PM ya kutishwa i.e kama ya kimoderator vile???? Maanake huo mchezo anao eti!
Huo ndo mpango sasa . . .Nili turn off PM niliona upuuzi flani ivi hamjuani mnakaa kushupalia mambo yasio na tija.