Wambulu na wasingidaHivi ni kabila gani hapa bongo linaendana na hawa?
Nitajie mahari baba mkwe mtarajiwaNi binti yangu....
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja kwanza tukae kikao cha ukoo tupange, ila haiwezi kuzidi 55m!!!
Haina shida mkuu kama nitapata na dada wawili nipo radhi kujitolea hilo dau!!Ngoja kwanza tukae kikao cha ukoo tupange, ila haiwezi kuzidi 55m!!!