thread nyingine ni vichekesho..!! huyo mke wa mtu aache kukaa na kubadilishana mawazo na mumewe, eti awe na wewe, kweli gear zingine, si useme tu ukweli kua umechoka kula nyama kila siku sasa unataka mboga za majani.... unazunguuuukaaaa kama kitu gani sijui. yaani mtaishia kwenye kubadilishana mawazo? mtakua mnakutana wapi kwanza ambapo mkionwa watu watajua ni kubadilishana mawazo tu na si vinginevyo?