Marriage Yard/Love Connect/Encounter Center

Marriage Yard/Love Connect/Encounter Center

Aiseeeeeeee

umeona mekapu ilivyotulia hapo?!!?!??!
kwa mbaaaali yet imemtoa balaaaa
kukobeka mamekapu sio fresh unapaka kitaalam kufuatana na features za ngozi na uso wako na occassion!

mambo zako broda?
 
Imetulia.
Naomba niwe mwanachama namba moja pamoja
Madame B ujue unataka kunichanginyi sasa. Nakumbuka wewe tayari umeshakuwa occupied na komando wa kichina au umeogopa rigwaride na kuamua kukata kamba??
 
Last edited by a moderator:
Madame B ujue unataka kunichanginyi sasa. Nakumbuka wewe tayari umeshakuwa occupied na komando wa kichina au umeogopa rigwaride na kuamua kukata kamba??

Jamani kaka.
Si ndio nalianzisha hvo ili wengine wafatishe.
 
Last edited by a moderator:
Tetra somo la funguliana mioyo ndio lipi hilo?
 
Madame B upendo unaoangalia sura tu mwisho wake mbaya, ndio maana mjini kila kukicha ndoa kibao zinavunjika. Sura mara nyingi ni kwa ajili ya show za muda tu, upendo wa kweli unatoka moyoni. Isitoshe sura kila mtu anaiona tofauti.

Ngoja nikupe mfano, kuna jamaa mmoja ni mtu wa UK, siku moja alikuja bongo kwa shughuli zake, sasa ikabidi atafute kanisa linaloabudu na lenye imani kama yake ndio kaja kanisani kwetu. Mke wake ni mtu wa Zambia, mweusiiiiii mfupi, halafu anaweza asivutie watu wengi kusema ukweli kwa jinsi alivyokuwa akionekana. Halafu jamaa bonge la handsome tall, still ni kijana. Sasa jinsi jamaa alivyokuwa anam-entertain acha kabisa, alikuwa anaonyesha upendo wa kweli. Hiyo familia ni wakristo kweli na wana furaha na amani full time. So eyes see differently.
 
Back
Top Bottom