Tatizo anadissMmezoea kuongea negative tu kuhusu ndoa, Ndio maana mauki anasifia mnamuona sio.
Anaongea ukweli ambao wanaume wengi hawapendi kuusikia.Tatizo anadiss
Anayodiss ni ya uongo????Tatizo anadiss
Kweli kabisa, na hawa Wanaume ngozi nyeusi wasivopenda kuambiwa ukweli, role model wao ni yule "mimi sipangiwi"Anaongea ukweli ambao wanaume wengi hawapendi kuusikia.
Huenda amebahatika kupata ndoa nzuri anataka auaminishe umma kuwa ndoa nyingi ni pepo, but kiuhalisia majority ya ndoa za ki tz ni hell!Anaongea ukweli ambao wanaume wengi hawapendi kuusikia.
Sina hakika kama ni uongo 100% ila msela anachoma!Anayodiss ni ya uongo????
Amebahatika kupata mke ambae wanaelewana. Goal yao kuhakikisha ndoa yao inadumu. Na sidhani kama wapo perfect bali wanajitahidi kufundisha yale yanayofundishika. Tatizo wanaume hampendi kujifunza mpo mpo tu. Jengeni ndoa zenu banaHuenda amebahatika kupata ndoa nzuri anataka auaminishe umma kuwa ndoa nyingi ni pepo, but kiuhalisia majority ya ndoa za ki tz ni hell!
Hawapendi kushauriwaKweli kabisa, na hawa Wanaume ngozi nyeusi wasivopenda kuambiwa ukweli, role model wao ni yule "mimi sipangiwi"
Wanawake wenyew wa kizazi cha peruvian/brazilian hair nyie, mnaanzaje kuelewana baada ya kuzoea ndoa, mwendo wa viburi flow na kujinunisha ovyo ubinafsi sasa kama kazi.Amebahatika kupata mke ambae wanaelewana. Goal yao kuhakikisha ndoa yao inadumu. Na sidhani kama wapo perfect bali wanajitahidi kufundisha yale yanayofundishika. Tatizo wanaume hampendi kujifunza mpo mpo tu. Jengeni ndoa zenu bana
Anasema ukweli ambao hamtaki kuusikiaSina hakika kama ni uongo 100% ila msela anachoma!
Ndukiiii.....!!!
Kiukweli mi napenda kushauriwa na nasikiliza, ninavyoona ndoa nyingi zinapondeka kwa sababu ya kukosa maridhiano baina ya wenza ama kutotoa ushirikiano ipasavyo katika uhusiano...Hawapendi kushauriwa
Umeshaweka akilini kuwa wanawake wote viburi. Hayo maperuvian kama huyapendi kwanini umchukue mwanamke wa hivyo? Duniani kuna wanawake wa aina mbali.mbali. nenda kwa yule unayeona anafaa. Mbona wapo !!! Usigeneralize vitu...watu hawafananiWanawake wenyew wa kizazi cha peruvian/brazilian hair nyie, mnaanzaje kuelewana baada ya kuzoea ndoa, mwendo wa viburi flow na kujinunisha ovyo ubinafsi sasa kama kazi.
Na ndoa ni watu wawili, hawa wao wanataka kuona mwanamke anapambana kuijenga wao pembeni tu wanakuna pmbAmebahatika kupata mke ambae wanaelewana. Goal yao kuhakikisha ndoa yao inadumu. Na sidhani kama wapo perfect bali wanajitahidi kufundisha yale yanayofundishika. Tatizo wanaume hampendi kujifunza mpo mpo tu. Jengeni ndoa zenu bana
Nimemsikia ila tatizo its less practical...siamini kama utaishi na mumeo milele hamjagombana. The guy doesn't give a touch ya hilo...ina maana hajawahi nuniwa na mkewe!?Anasema ukweli ambao hamtaki kuusikia