Marriage proposal on phone

Marriage proposal on phone

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Kawaida wadada hupenda kaka atafute utaratibu mzuri wa kumwambia hilo jambo, na liwe ni la kiupendo na utulivu. Lakini kutokana na kuwa na simu mkononi imeonekana wengi wanafanya hilo jambo kwa kumpigia msichana na kumwambia kilichomo moyoni.

Hii kwanza ni rahisi hata ukikataliwa you dont feel it
halafu ni rahisi kusema hata kama humanaanishi


swali je kumwambia msichana lako moyoni kwa kupitia simu ni sawa au ni woga?
 
Ni sawa kwani si njia mojawapo ya mawasiliano, au unasemaje mdau?
 
Si heshima kuzungumzia suala hili kwa njia ya simu, ni vizuri zaidi mukaa mahali patulivu na kulizungumzia.
Hata kutongoza pia, ila wengi wa madada siku hizi wanakubali kutongozwa kwa kupitia simu na ujumbe.
 
Back
Top Bottom