Marriage is a sacrifice

Marriage is a sacrifice

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,169
Habari za weekend wanaMMU.

Kwenye andiko hili nitashare personal experience, experience ya watu wengine pamoja na yale ninayoyaona ama kuyasikia kwenye jamii zetu.

Ikiwa umefikiria labda kichwa cha habari kina maana ya kuingia kwenye Ndoa ni Kujitoa Sadaka. Hapana hilo si dhumuni la mada hii

Kabla ya mtu kuanza kuwa na mawazo ya kuwa na mwenza, utasikia ama kuambiwa mengi sana. Kwasisi wanaume utaambiwa mwanamke ni Tabia, tafuta mwanamke anayeweza kucover nafasi ya mama yako, tafuta mwanamke mtakayepanga mambo yakaenda, n.k n.k kuna thread nyingi pia hata humu ndani zimeweka wazi ni wanawake gani wa kuwaepuka na ni wa aina ipi wa kuoa. All in All, itakubidi ufanye chaguzi sahihi ili kumpata aliyebora. Hata kama ulitulia ukampata mtiifu, mnyenyekevu, sijui bikra, mzuri wa sura na tabia believe kila mtu ana kasoro yake na kila ndoa inachangamoto zake.

Kuna jamaa yangu mmoja alipokuwa akiendea kuoa alikuwa akijiona kama the luckiest man in the world. Alikuwa akimuoa binti bikra, mwenye elimu yake, mwenye kumjua Mungu, mwenye adabu na utii, mwenye kila aina ya sifa nzuri. Believe me in less than a year in marriage ndoa ilikuwa chungu. Mwanamke amekuwa na kibri na mwenye sauti zaidi. Watu wa jinsia zote hubadilika sana. Kuna wanaume wanachange kabisa character zao za awali mpaka mtu unajiuliza hapa ndipo kwenye niliingia. Ndugu wanakuhoji ulimpendea mini huyu, ila kumbe mwanzoni mtu alikuwa yuko poa tu.

What I believe, Maisha ya ndoa yanajumuisha watu kuanzia wawili. Hivyo lolote litakaloamuliwa na mmoja wetu lazima liwe na impact kwa mwingine pia. Naamini kwenye kuongea, kusikilizana na kufikia muafaka lakini si kelele, kujiona mjuaji ama una haki saaana ama upo sahihi kwa kile unachofikilia kuliko mwenza wako. Binafsi nilijiwekea kuoa mwenye elimu mwenzangu nikijua we shall be thinking kwenye direction moja na it will be easy kueleweshana, this has been one of the biggest mistakes in my life.

You can play very well kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano ila hii kitu NDOA its something else. I believe ili at least kidogo NDOA ikae vizuri cha muhimu ni sacrifice na kila mtu akae kwenye nafasi yake. Kuna wakati kila mtu anakuwa na mawazo Fulani kuhusu jambo Fulani na kila mmoja anajiona yuko sahihi na msingi wa changamoto nyingi kwenye ndoa unaanzia hapa. I believe kama BABA akikaa kwenye nafasi yake, hivyo hivyo kwa MAMA na kukawa na kitu kinaitwa SACRIFICE ndani yao I believe Ndoa zitaweza dumu. Hali ya kukubali usahihi wa mwenzio ilhali ndani yako unajua hayuko sahihi ndicho ninachojaribu kukimaanisha hapa. Tunashindwa kujenga familia madhubuti, kujenga uchumi wa familia na kufanikiwa mengi lakini asubuhi hii nimeng'amua yote haya yanatokana na wanandoa kutojua kuwa Marriage is a Sacrifice if we need it to workout well.
 
Mkuu hii Kitu sio rahisi , ndoa ngumu mno, mzee wangu pamoja na kuwa na uwezo wake kiuchumi, Kama sio watoto kuingilia Kati tungekuwa tushamsahau.

Mahusiano yanakuwa mazuri mkiwa wachumba, sijui anatokea shetani gani pale mnapooana.
 
Duuh haya mambo bwana balaa zito, mnapokua wachumba mnajiona kama dunia yenu just go inside ndio unaona kama balaa, unakuta enzi mkiwa wazinifu(Mungu atusamehe) mlikua mnakula tunda good, eti mkiingia ndani mwanamke hakutaki au anakuwekea masharti mpaka unawaza kuchepuka yaan Allah atunusuru tu
 
Mahusiano yanakuwa mazuri mkiwa wachumba, sijui anatokea shetani pale mnapooana.
That is why we get being certified baada ya kujoin tu. Haijarishi utakaa masaa ama siku kadhaa.
 
Duuh haya mambo bwana balaa zito, mnapokua wachumba mnajiona kama dunia yenu just go inside ndio unaona kama balaa, unakuta enzi mkiwa wazinifu(Mungu atusamehe) mlikua mnakula tunda good, eti mkiingia ndani mwanamke hakutaki au anakuwekea masharti mpaka unawaza kuchepuka yaan Allah atunusuru tu
Kingine ninachokiona kuna baadhi ya wanawake wakishaipata ndoa kuna ile superiority inajijenga ndani yao. Kuna lugha asingeweza kuongea na wewe angali mpo kwenye uchumba ndizo zinakuwa lugha zake. Hii ni tabia inayonichukiza kabisa. Wanawake punguzeni Mdomo mtaokoa ndoa zenu
 
Mkuu hii Kitu sio rahisi , ndoa ngumu mno, mzee wangu pamoja na kuwa na uwezo wake kiuchumi, Kama sio watoto kuingilia Kati tungekuwa tushamsahau.

Mahusiano yanakuwa mazuri mkiwa wachumba, sijui anatokea shetani gani pale mnapooana.
Shetani huwa mna mu invite wenyewe kwenye viapo vya ndoa pale mnaposema ninakubali kuishi na fulani bin fulani kwa shida na raha.

Shida inamuwakilisha shetani na raha inamuwakilisha Mungu.

Shida na raha haziwezi kukaa sehemu moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa kimoja wapo unamaanisha kutokuwepo kwa kingine.

Na shida ns raha zikikaa pamoja shida ndio huonekana kwa sababu shida ni nguvu hasi na raha ni nguvu chanya . Negative plus positive is equal to negative.

Kiapo sahihi cha ndoa ni kusema nimekubali kuingia katika agano la mwili na kichwa. Kichwa is husband na mwili is wife
 
Hahahaaaa safi sana. Ila hapo kwenye plus ungeweka times ama divide ingekuwa safi sana
 
Shetani huwa mna mu invite wenyewe kwenye viapo vya ndoa pale mnaposema ninakubali kuishi na fulani bin fulani kwa shida na raha.

Shida inamuwakilisha shetani na raha inamuwakilisha Mungu.

Shida na raha haziwezi kukaa sehemu moja kwa wakati mmoja.

Uwepo wa kimoja wapo unamaanisha kutokuwepo kwa kingine.

Na shida ns raha zikikaa pamoja shida ndio huonekana kwa sababu shida ni nguvu hasi na raha ni nguvu chanya . Negative plus positive is equal to negative.

Kiapo sahihi cha ndoa ni kusema nimekubali kuingia katika agano la mwili na kichwa. Kichwa is husband na mwili is wife
Negative plus positive, inategemea na ukubwa wa each
 
Kwa maoni yangu ndoa ni kheri.
Ndoa huharibiwa kwa waliooana kuibadili ndoa ya wawili kuwa ni ndoa ya pande mbili.
Hapa namaanisha
Mnapooana mnaenda kuunga umoja unaotakiwa kuwa ngome na yenye uzio wenye ukuta wa mawe usioruhusu maumivu kwa upande mmoja.
Kosa tunalolifanya ni kwa wanandoa kuwa watumwa wa familia kupitia wazazi.Mwanamme anafungua milango ya kujipendekeza kwa wakwe wa mkewe na mke anafungua milango ya kujipendejeza kwa wazazi wa mumewe.
Sasa hapa chuki ndipo inapoanzia kwa kuwa hawa wazazi wanapoingia wanaanza kuwa na upande na kutoa ushauri na pia kuingiza utashi na familia hatimae siri za utotoni za tabia huanza kutolewa kwa kila upande na hatimae chuki huanza kujengeja na migogoro huanza.
Njia nzuri ni wanandoa kila mmoja kumlinda mwenzake kwa upande wake na wai kulinda ujenzi wa nyumba yao
 
Kingine ninachokiona kuna baadhi ya wanawake wakishaipata ndoa kuna ile superiority inajijenga ndani yao. Kuna lugha asingeweza kuongea na wewe angali mpo kwenye uchumba ndizo zinakuwa lugha zake. Hii ni tabia inayonichukiza kabisa. Wanawake punguzeni Mdomo mtaokoa ndoa zenu
Mkuu tufunge na kuomba mambo sio poa sana ndio maana ndoa nyingi zinafia njian maana nje ya ndoa kuna utam kuliko ndoani, watu wanaomheshimu Mungu wanaoa lkn ndoa zenyewe zinakua magumashi
 
Shetani huwa mna mu invite wenyewe kwenye viapo vya ndoa pale mnaposema ninakubali kuishi na fulani bin fulani kwa shida na raha.
Shida inamuwakilisha shetani na raha inamuwakilisha Mungu.
Shida na raha haziwezi kukaa sehemu moja kwa wakati mmoja.
Uwepo wa kimoja wapo unamaanisha kutokuwepo kwa kingine.
Na shida ns raha zikikaa pamoja shida ndio huonekana kwa sababu shida ni nguvu hasi na raha ni nguvu chanya . Negative plus positive is equal to negative.
Kiapo sahihi cha ndoa ni kusema nimekubali kuingia katika agano la mwili na kichwa. Kichwa is husband na mwili is wife

Kichwa ni mboo
 
Habari za weekend wanaMMU.

Kwenye andiko hili nitashare personal experience, experience ya watu wengine pamoja na yale ninayoyaona ama kuyasikia kwenye jamii zetu.

Ikiwa umefikiria labda kichwa cha habari kina maana ya kuingia kwenye Ndoa ni Kujitoa Sadaka. Hapana hilo si dhumuni la mada hii

Kabla ya mtu kuanza kuwa na mawazo ya kuwa na mwenza, utasikia ama kuambiwa mengi sana. Kwasisi wanaume utaambiwa mwanamke ni Tabia, tafuta mwanamke anayeweza kucover nafasi ya mama yako, tafuta mwanamke mtakayepanga mambo yakaenda, n.k n.k kuna thread nyingi pia hata humu ndani zimeweka wazi ni wanawake gani wa kuwaepuka na ni wa aina ipi wa kuoa. All in All, itakubidi ufanye chaguzi sahihi ili kumpata aliyebora. Hata kama ulitulia ukampata mtiifu, mnyenyekevu, sijui bikra, mzuri wa sura na tabia believe kila mtu ana kasoro yake na kila ndoa inachangamoto zake.

Kuna jamaa yangu mmoja alipokuwa akiendea kuoa alikuwa akijiona kama the luckiest man in the world. Alikuwa akimuoa binti bikra, mwenye elimu yake, mwenye kumjua Mungu, mwenye adabu na utii, mwenye kila aina ya sifa nzuri. Believe me in less than a year in marriage ndoa ilikuwa chungu. Mwanamke amekuwa na kibri na mwenye sauti zaidi. Watu wa jinsia zote hubadilika sana. Kuna wanaume wanachange kabisa character zao za awali mpaka mtu unajiuliza hapa ndipo kwenye niliingia. Ndugu wanakuhoji ulimpendea mini huyu, ila kumbe mwanzoni mtu alikuwa yuko poa tu.

What I believe, Maisha ya ndoa yanajumuisha watu kuanzia wawili. Hivyo lolote litakaloamuliwa na mmoja wetu lazima liwe na impact kwa mwingine pia. Naamini kwenye kuongea, kusikilizana na kufikia muafaka lakini si kelele, kujiona mjuaji ama una haki saaana ama upo sahihi kwa kile unachofikilia kuliko mwenza wako. Binafsi nilijiwekea kuoa mwenye elimu mwenzangu nikijua we shall be thinking kwenye direction moja na it will be easy kueleweshana, this has been one of the biggest mistakes in my life.

You can play very well kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano ila hii kitu NDOA its something else. I believe ili at least kidogo NDOA ikae vizuri cha muhimu ni sacrifice na kila mtu akae kwenye nafasi yake. Kuna wakati kila mtu anakuwa na mawazo Fulani kuhusu jambo Fulani na kila mmoja anajiona yuko sahihi na msingi wa changamoto nyingi kwenye ndoa unaanzia hapa. I believe kama BABA akikaa kwenye nafasi yake, hivyo hivyo kwa MAMA na kukawa na kitu kinaitwa SACRIFICE ndani yao I believe Ndoa zitaweza dumu. Hali ya kukubali usahihi wa mwenzio ilhali ndani yako unajua hayuko sahihi ndicho ninachojaribu kukimaanisha hapa. Tunashindwa kujenga familia madhubuti, kujenga uchumi wa familia na kufanikiwa mengi lakini asubuhi hii nimeng'amua yote haya yanatokana na wanandoa kutojua kuwa Marriage is a Sacrifice if we need it to workout well.

Well said
 
Kwa nini Wanaume ndo wanaoongoza kulia lia sana kuhusu Ndoa kuliko Wanawake? Mbona Wanawake wako kimya?

Hii inaonyesha wazi kuwa TZ real men ni wachache sana, na wengi wenu ni weak men na ndo maana mmejazana hapa JF kila siku kulia lia kuhusu Ndoa, kwa kawaida mademu ndo waliopaswa wawe hivyo.

Wanawake wanatambua real strong men, huwa wanawaheshimu!
 
Ndani ya Bustani ya Eden Mungu alimuuliza Adam. Hata ukiangalia vizuri Shetani anamuweza sana Mwanamke kuliko mwanaume. Wanaume tuna Why nyingi ndo maana unaona wanaume wanajiuliza. Sio kama wanaume wanalia hizo ni WHY.
Kwa nini Wanaume ndo wanaoongoza kulia lia sana kuhusu Ndoa kuliko Wanawake? Mbona Wanawake wako kimya?

Hii inaonyesha wazi kuwa TZ real men ni wachache sana, na wengi wenu ni weak men na ndo maana mmejazana hapa JF kila siku kulia lia kuhusu Ndoa, kwa kawaida mademu ndo waliopaswa wawe hivyo.

Wanawake wanatambua real strong men, huwa wanawaheshimu!
 
Kwa maoni yangu ndoa ni kheri.
Ndoa huharibiwa kwa waliooana kuibadili ndoa ya wawili kuwa ni ndoa ya pande mbili.
Hapa namaanisha
Mnapooana mnaenda kuunga umoja unaotakiwa kuwa ngome na yenye uzio wenye ukuta wa mawe usioruhusu maumivu kwa upande mmoja.
Kosa tunalolifanya ni kwa wanandoa kuwa watumwa wa familia kupitia wazazi.Mwanamme anafungua milango ya kujipendekeza kwa wakwe wa mkewe na mke anafungua milango ya kujipendejeza kwa wazazi wa mumewe.
Sasa hapa chuki ndipo inapoanzia kwa kuwa hawa wazazi wanapoingia wanaanza kuwa na upande na kutoa ushauri na pia kuingiza utashi na familia hatimae siri za utotoni za tabia huanza kutolewa kwa kila upande na hatimae chuki huanza kujengeja na migogoro huanza.
Njia nzuri ni wanandoa kila mmoja kumlinda mwenzake kwa upande wake na wai kulinda ujenzi wa nyumba yao
Huku kulinda kwingi, siku mpaka wazazi wake wanakuuliza kama alikuwa anakosea mbona hujawahi kueleza. Huku kulinda sana vipi bhana
 
Ndani ya Bustani ya Eden Mungu alimuuliza Adam. Hata ukiangalia vizuri Shetani anamuweza sana Mwanamke kuliko mwanaume. Wanaume tuna Why nyingi ndo maana unaona wanaume wanajiuliza. Sio kama wanaume wanalia hizo ni WHY.

Real men hawana hizo why, kwani real men wanajiamini na Wanawake hutambua haraka sana Mwanaume anayejiamini na hivyo humuheshimu.

Matatizo mengine mnayoyapata ktk kwa Wanawake mnajitakia, mnalia lia sana kiasi kwamba Wanawake hawaoni tofauti kama wako na Mwanaume au shoga yake!
 
Kwa nini Wanaume ndo wanaoongoza kulia lia sana kuhusu Ndoa kuliko Wanawake? Mbona Wanawake wako kimya?

Hii inaonyesha wazi kuwa TZ real men ni wachache sana, na wengi wenu ni weak men na ndo maana mmejazana hapa JF kila siku kulia lia kuhusu Ndoa, kwa kawaida mademu ndo waliopaswa wawe hivyo.

Wanawake wanatambua real strong men, huwa wanawaheshimu!
Hebu kuwa na aibu kiasi. Japo hatujuani lakini hayo si maneno kwa mwanamke aliyefunzwa na wazazi wake. Hivi ungeongea politely nini kingeharibika??
 
Real men hawalii liii hovyo sijui mwanamke kamkataa, mara sijui mchumba kanifanyia hivi, of course mchumba atakudharau na kugongwa nje kama kutwa nzima unalia lia hovyo kama shoga zake.

Real men hutatua tatizo na siyo kulia lia hayo ni mambo ya mademu!
 
Ipo hivi man, ukiona tatizo limetokea kwa Jirani usifikiri kama wewe utakuwa salama. Usijidanganye! You're a real man! Tunajaribu kuangalia kuokoa jamii.

Back
Top Bottom