Marriage is a sacrifice

Marriage is a sacrifice

Real men hawalii liii hovyo sijui mwanamke kamkataa, mara sijui mchumba kanifanyia hivi, of course mchumba atakudharau na kugongwa nje kama kutwa nzima unalia lia hovyo kama shoga zake.

Real men hutatua tatizo na siyo kulia lia hayo ni mambo ya mademu!

Mimi nadhani umekurupuka maana hii mada imeongelea changamoto za kwenye Ndoa na sio kwenye Uchumba. Haijagusa kugongewa mchumba. Kuna mwanaume Amelia hapo kwamba kuna demu kamkataa. Nahisi bado hujaelewa kiini cha changamoto tunazozungumzia. Karibu Chai
 
Ni muendelezo wa mada zile zile tu za Wanaume kulia lia, mambo kama hayo hujadili Wanawake, lkn Mwanaume kuanza kujadili na kuuliza watu mwanamke gani uoe inaonyesha jinsi usivyojiamini.

Kama unajiamini na unajua unataka nini unatafuta demu anayekufaa unaoa, kwisha!
 
Habari za weekend wanaMMU.

Kwenye andiko hili nitashare personal experience, experience ya watu wengine pamoja na yale ninayoyaona ama kuyasikia kwenye jamii zetu.

Ikiwa umefikiria labda kichwa cha habari kina maana ya kuingia kwenye Ndoa ni Kujitoa Sadaka. Hapana hilo si dhumuni la mada hii

Kabla ya mtu kuanza kuwa na mawazo ya kuwa na mwenza, utasikia ama kuambiwa mengi sana. Kwasisi wanaume utaambiwa mwanamke ni Tabia, tafuta mwanamke anayeweza kucover nafasi ya mama yako, tafuta mwanamke mtakayepanga mambo yakaenda, n.k n.k kuna thread nyingi pia hata humu ndani zimeweka wazi ni wanawake gani wa kuwaepuka na ni wa aina ipi wa kuoa. All in All, itakubidi ufanye chaguzi sahihi ili kumpata aliyebora. Hata kama ulitulia ukampata mtiifu, mnyenyekevu, sijui bikra, mzuri wa sura na tabia believe kila mtu ana kasoro yake na kila ndoa inachangamoto zake.

Kuna jamaa yangu mmoja alipokuwa akiendea kuoa alikuwa akijiona kama the luckiest man in the world. Alikuwa akimuoa binti bikra, mwenye elimu yake, mwenye kumjua Mungu, mwenye adabu na utii, mwenye kila aina ya sifa nzuri. Believe me in less than a year in marriage ndoa ilikuwa chungu. Mwanamke amekuwa na kibri na mwenye sauti zaidi. Watu wa jinsia zote hubadilika sana. Kuna wanaume wanachange kabisa character zao za awali mpaka mtu unajiuliza hapa ndipo kwenye niliingia. Ndugu wanakuhoji ulimpendea mini huyu, ila kumbe mwanzoni mtu alikuwa yuko poa tu.

What I believe, Maisha ya ndoa yanajumuisha watu kuanzia wawili. Hivyo lolote litakaloamuliwa na mmoja wetu lazima liwe na impact kwa mwingine pia. Naamini kwenye kuongea, kusikilizana na kufikia muafaka lakini si kelele, kujiona mjuaji ama una haki saaana ama upo sahihi kwa kile unachofikilia kuliko mwenza wako. Binafsi nilijiwekea kuoa mwenye elimu mwenzangu nikijua we shall be thinking kwenye direction moja na it will be easy kueleweshana, this has been one of the biggest mistakes in my life.

You can play very well kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano ila hii kitu NDOA its something else. I believe ili at least kidogo NDOA ikae vizuri cha muhimu ni sacrifice na kila mtu akae kwenye nafasi yake. Kuna wakati kila mtu anakuwa na mawazo Fulani kuhusu jambo Fulani na kila mmoja anajiona yuko sahihi na msingi wa changamoto nyingi kwenye ndoa unaanzia hapa. I believe kama BABA akikaa kwenye nafasi yake, hivyo hivyo kwa MAMA na kukawa na kitu kinaitwa SACRIFICE ndani yao I believe Ndoa zitaweza dumu. Hali ya kukubali usahihi wa mwenzio ilhali ndani yako unajua hayuko sahihi ndicho ninachojaribu kukimaanisha hapa. Tunashindwa kujenga familia madhubuti, kujenga uchumi wa familia na kufanikiwa mengi lakini asubuhi hii nimeng'amua yote haya yanatokana na wanandoa kutojua kuwa Marriage is a Sacrifice if we need it to workout well.
Sio ndoa tu ndo sacrifice.
Bali kuingia katika biashara ni sacrifice.
Kumaliza chuo ukaingia mtaani ni sacrifice.
Kila unachofanya lazima ujitoe muhanga kwa uhakika.

Sijui nani alikuja kutudanganya kwamba ndoa ni kitu rahisi na cha mchezo mchezo kisichohitaji utayari uvumilivu na uelewa.

Tuna tatizo la kuona ndoa ni ngumu na ya kujitoa muhanga ila hatuna tatizo la kuona kwamba biashara nayo ni ngumu kweli kweli tena ni kujitoa muhanga.

Tuache biashara,tuache ndoa
 
siku hizi naona kumekuwa na mabandiko mengi sana ya ku-discourage maisha ya NDOA.

ila ukweli maisha ya ndoa sio kitu cha mchezo mchezo. it's a lifetime commitment.

i have been there, saw it and experienced it. sishauri kijana wa jinsia yoyote kuingia ktk mfumo huo wa maisha.

you better stay alone.
 
Kweli kabisa.
Ndoa huwa jambo la kheri sana kwa binadamu na mbele ya Mungu.

Mnapofunga ndoa, tayari mmetangaza bifu na shetani. Na hili bifu huwa ni unstoppable.

Maisha yenu yakiwa ya kumtanguliza Mungu kwa kila jambo mnaweza kuwa salama kabisa. Ila ikitokea upenyo wowote, shetani huutumia ili kuwavuruga.
Angalia Mch. alivyomchoma visu visivyo na idadi mkewe baada ya kugundua amemsaliti.
Shetani hapandi ndoa. Pindi mnapofunga ndoa mmemkaribisha shetani. Kitakachowaokoa kila jambo mnalofanya mshirikisheni Mungu
 
Kwa nini Wanaume ndo wanaoongoza kulia lia sana kuhusu Ndoa kuliko Wanawake? Mbona Wanawake wako kimya?

Hii inaonyesha wazi kuwa TZ real men ni wachache sana, na wengi wenu ni weak men na ndo maana mmejazana hapa JF kila siku kulia lia kuhusu Ndoa, kwa kawaida mademu ndo waliopaswa wawe hivyo.

Wanawake wanatambua real strong men, huwa wanawaheshimu!
Wako kimya kwa kuwa wao ndiyo walioongea live na shetani. Huwezi jua waliongea nini kuhusu mwanaume.
Mwanaume alifika analishwa tu matango pori bila kujua agano la mwanamke na shetani.
 
Habari za weekend wanaMMU.

Kwenye andiko hili nitashare personal experience, experience ya watu wengine pamoja na yale ninayoyaona ama kuyasikia kwenye jamii zetu.

Ikiwa umefikiria labda kichwa cha habari kina maana ya kuingia kwenye Ndoa ni Kujitoa Sadaka. Hapana hilo si dhumuni la mada hii

Kabla ya mtu kuanza kuwa na mawazo ya kuwa na mwenza, utasikia ama kuambiwa mengi sana. Kwasisi wanaume utaambiwa mwanamke ni Tabia, tafuta mwanamke anayeweza kucover nafasi ya mama yako, tafuta mwanamke mtakayepanga mambo yakaenda, n.k n.k kuna thread nyingi pia hata humu ndani zimeweka wazi ni wanawake gani wa kuwaepuka na ni wa aina ipi wa kuoa. All in All, itakubidi ufanye chaguzi sahihi ili kumpata aliyebora. Hata kama ulitulia ukampata mtiifu, mnyenyekevu, sijui bikra, mzuri wa sura na tabia believe kila mtu ana kasoro yake na kila ndoa inachangamoto zake.

Kuna jamaa yangu mmoja alipokuwa akiendea kuoa alikuwa akijiona kama the luckiest man in the world. Alikuwa akimuoa binti bikra, mwenye elimu yake, mwenye kumjua Mungu, mwenye adabu na utii, mwenye kila aina ya sifa nzuri. Believe me in less than a year in marriage ndoa ilikuwa chungu. Mwanamke amekuwa na kibri na mwenye sauti zaidi. Watu wa jinsia zote hubadilika sana. Kuna wanaume wanachange kabisa character zao za awali mpaka mtu unajiuliza hapa ndipo kwenye niliingia. Ndugu wanakuhoji ulimpendea mini huyu, ila kumbe mwanzoni mtu alikuwa yuko poa tu.

What I believe, Maisha ya ndoa yanajumuisha watu kuanzia wawili. Hivyo lolote litakaloamuliwa na mmoja wetu lazima liwe na impact kwa mwingine pia. Naamini kwenye kuongea, kusikilizana na kufikia muafaka lakini si kelele, kujiona mjuaji ama una haki saaana ama upo sahihi kwa kile unachofikilia kuliko mwenza wako. Binafsi nilijiwekea kuoa mwenye elimu mwenzangu nikijua we shall be thinking kwenye direction moja na it will be easy kueleweshana, this has been one of the biggest mistakes in my life.

You can play very well kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano ila hii kitu NDOA its something else. I believe ili at least kidogo NDOA ikae vizuri cha muhimu ni sacrifice na kila mtu akae kwenye nafasi yake. Kuna wakati kila mtu anakuwa na mawazo Fulani kuhusu jambo Fulani na kila mmoja anajiona yuko sahihi na msingi wa changamoto nyingi kwenye ndoa unaanzia hapa. I believe kama BABA akikaa kwenye nafasi yake, hivyo hivyo kwa MAMA na kukawa na kitu kinaitwa SACRIFICE ndani yao I believe Ndoa zitaweza dumu. Hali ya kukubali usahihi wa mwenzio ilhali ndani yako unajua hayuko sahihi ndicho ninachojaribu kukimaanisha hapa. Tunashindwa kujenga familia madhubuti, kujenga uchumi wa familia na kufanikiwa mengi lakini asubuhi hii nimeng'amua yote haya yanatokana na wanandoa kutojua kuwa Marriage is a Sacrifice if we need it to workout well.
Kaka ndoa Hapana.....wakwangu nimekaa nae kwa miaka mitano tunasomana lakini nikajilipua kufunga ndoa.....lakini tulivofika nyumbani siku hiyohiyo tukae hoi binitaabani nikamuomba dr nitadikie kitanda nipumzike kidogo alinijibu wewe huna mikono au yeye ana mikono minne.....duh nilichoka hiyo siku nilijiona kwamba nimenaswa kwenye mtegoni
 
Mwanaume real humuongoza Mwanamke, na Mwanamke humtambua real man na kumfwata!
 
Kaka ndoa Hapana.....wakwangu nimekaa nae kwa miaka mitano tunasomana lakini nikajilipua kufunga ndoa.....lakini tulivofika nyumbani siku hiyohiyo tukae hoi binitaabani nikamuomba dr nitadikie kitanda nipumzike kidogo alinijibu wewe huna mikono au yeye ana mikono minne.....duh nilichoka hiyo siku nilijiona kwamba nimenaswa kwenye mtegoni
Hawa ndio wakina barbaverosa
 
Ni muendelezo wa mada zile zile tu za Wanaume kulia lia, mambo kama hayo hujadili Wanawake, lkn Mwanaume kuanza kujadili na kuuliza watu mwanamke gani uoe inaonyesha jinsi usivyojiamini.

Kama unajiamini na unajua unataka nini unatafuta demu anayekufaa unaoa, kwisha!
Kwahyo mwanaume haruhusiwi kujadili, akijadili tu kwa akili yako ushamfananisha na shoga yako. Sio Poa
 
Siku moja moja muwe mnatupa thread za furaha na utamu wa ndoa ili vijana wasiwe na stress kuhusu ndoa, kuwajenga katika misingi bora ya kuishi na kufurahia ndoa. Tuwajenge kisaikolojia wawe na mitazamo chanya kuhusu ndoa.

Kila kitu kina changamoto, na changamoto ni maisha. Hatupaswi kuzikimbia changamoto
 
Habari za weekend wanaMMU.

Kwenye andiko hili nitashare personal experience, experience ya watu wengine pamoja na yale ninayoyaona ama kuyasikia kwenye jamii zetu.

Ikiwa umefikiria labda kichwa cha habari kina maana ya kuingia kwenye Ndoa ni Kujitoa Sadaka. Hapana hilo si dhumuni la mada hii

Kabla ya mtu kuanza kuwa na mawazo ya kuwa na mwenza, utasikia ama kuambiwa mengi sana. Kwasisi wanaume utaambiwa mwanamke ni Tabia, tafuta mwanamke anayeweza kucover nafasi ya mama yako, tafuta mwanamke mtakayepanga mambo yakaenda, n.k n.k kuna thread nyingi pia hata humu ndani zimeweka wazi ni wanawake gani wa kuwaepuka na ni wa aina ipi wa kuoa. All in All, itakubidi ufanye chaguzi sahihi ili kumpata aliyebora. Hata kama ulitulia ukampata mtiifu, mnyenyekevu, sijui bikra, mzuri wa sura na tabia believe kila mtu ana kasoro yake na kila ndoa inachangamoto zake.

Kuna jamaa yangu mmoja alipokuwa akiendea kuoa alikuwa akijiona kama the luckiest man in the world. Alikuwa akimuoa binti bikra, mwenye elimu yake, mwenye kumjua Mungu, mwenye adabu na utii, mwenye kila aina ya sifa nzuri. Believe me in less than a year in marriage ndoa ilikuwa chungu. Mwanamke amekuwa na kibri na mwenye sauti zaidi. Watu wa jinsia zote hubadilika sana. Kuna wanaume wanachange kabisa character zao za awali mpaka mtu unajiuliza hapa ndipo kwenye niliingia. Ndugu wanakuhoji ulimpendea mini huyu, ila kumbe mwanzoni mtu alikuwa yuko poa tu.

What I believe, Maisha ya ndoa yanajumuisha watu kuanzia wawili. Hivyo lolote litakaloamuliwa na mmoja wetu lazima liwe na impact kwa mwingine pia. Naamini kwenye kuongea, kusikilizana na kufikia muafaka lakini si kelele, kujiona mjuaji ama una haki saaana ama upo sahihi kwa kile unachofikilia kuliko mwenza wako. Binafsi nilijiwekea kuoa mwenye elimu mwenzangu nikijua we shall be thinking kwenye direction moja na it will be easy kueleweshana, this has been one of the biggest mistakes in my life.

You can play very well kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano ila hii kitu NDOA its something else. I believe ili at least kidogo NDOA ikae vizuri cha muhimu ni sacrifice na kila mtu akae kwenye nafasi yake. Kuna wakati kila mtu anakuwa na mawazo Fulani kuhusu jambo Fulani na kila mmoja anajiona yuko sahihi na msingi wa changamoto nyingi kwenye ndoa unaanzia hapa. I believe kama BABA akikaa kwenye nafasi yake, hivyo hivyo kwa MAMA na kukawa na kitu kinaitwa SACRIFICE ndani yao I believe Ndoa zitaweza dumu. Hali ya kukubali usahihi wa mwenzio ilhali ndani yako unajua hayuko sahihi ndicho ninachojaribu kukimaanisha hapa. Tunashindwa kujenga familia madhubuti, kujenga uchumi wa familia na kufanikiwa mengi lakini asubuhi hii nimeng'amua yote haya yanatokana na wanandoa kutojua kuwa Marriage is a Sacrifice if we need it to workout well.
asante kwa kutupa "ilim" muhimu kabisa....maana mambo sio mambo!
 
Mmmh!!!! I am afraidoooooo....

"Binafsi nilijiwekea kuoa mwenye elimu mwenzangu nikijua we shall be thinking kwenye direction moja na it will be easy kueleweshana, this has been one of the biggest mistakes in my life"
 
Uzi wako mkuu kama nimekuelewa vzr sana na hii hutokea sana Kwenye mahusiano mengi.....

Kile unachokidhania Wewe ni sahihi, na ukataka kufanya kwa kuamini kuwa ni sahihi na kwa kuwa unaamini ni sahihi basi unakomalia, pasi kutarajia mwenzio anaona Hakuna usahihi wowote katika jambo Lako, nae anazo sababu anazoziona ni sahihi kuliona jambo Lako sio sahihi....

Sasa hapo ndipo usipokuwepo kitu Inaitwa Sucrifies... NI MOTO FIRE NDANI ya nyumba..

Kumbe basi miongoni mwa Elimu muhimu sana za watu kabla hawajajitosa Kwenye ndoa wanazotakiwa kupata elimu hii ya SUCRIFIES(KUJITOA) kikamilifu.

Asante sana kwa Elimu mkuu
 
Kwa nini Wanaume ndo wanaoongoza kulia lia sana kuhusu Ndoa kuliko Wanawake? Mbona Wanawake wako kimya?

Hii inaonyesha wazi kuwa TZ real men ni wachache sana, na wengi wenu ni weak men na ndo maana mmejazana hapa JF kila siku kulia lia kuhusu Ndoa, kwa kawaida mademu ndo waliopaswa wawe hivyo.

Wanawake wanatambua real strong men, huwa wanawaheshimu!
Wanawake wengi hawatumii jf na hawaijui kabisa.....wangelilia fb au IG ila kule hamna privacy......wao husimuliana saluni
 
siku hizi naona kumekuwa na mabandiko mengi sana ya ku-discourage maisha ya NDOA.

ila ukweli maisha ya ndoa sio kitu cha mchezo mchezo. it's a lifetime commitment.

i have been there, i saw it, i experienced it. sishauri kijana wa jinsia yoyote kuingia ktk mfumo huo wa maisha.

you better stay alone.
Hebu tusimulie...umeona nn huko
 
Wengi tumesahau majukumu yetu mwanamke amuheshimu mume wake, na mume ampende mke wake, hasa wanawake tunajisahau sana Mungu hatusaidie jamani
 
Uzi wako mkuu kama nimekuelewa vzr sana na hii hutokea sana Kwenye mahusiano mengi.....

Kile unachokidhania Wewe ni sahihi, na ukataka kufanya kwa kuamini kuwa ni sahihi na kwa kuwa unaamini ni sahihi basi unakomalia, pasi kutarajia mwenzio anaona Hakuna usahihi wowote katika jambo Lako, nae anazo sababu anazoziona ni sahihi kuliona jambo Lako sio sahihi....

Sasa hapo ndipo usipokuwepo kitu Inaitwa Sucrifies... NI MOTO FIRE NDANI ya nyumba..

Kumbe basi miongoni mwa Elimu muhimu sana za watu kabla hawajajitosa Kwenye ndoa wanazotakiwa kupata elimu hii ya SUCRIFIES(KUJITOA) kikamilifu.

Asante sana kwa Elimu mkuu
Una sacriface uhai wako furaha yako mda, pesa kwaajili ya lijitu ambalo halijitambui kabisa unateseka nusu ya uhai wako eti unalinda ndoa....whats ndoa??? hell with your ndoa nahitaji uhuru wangu bana......nilikosea sitarudia tena God forbid
 
siku hizi naona kumekuwa na mabandiko mengi sana ya ku-discourage maisha ya NDOA.

ila ukweli maisha ya ndoa sio kitu cha mchezo mchezo. it's a lifetime commitment.

i have been there, i saw it, i experienced it. sishauri kijana wa jinsia yoyote kuingia ktk mfumo huo wa maisha.

you better stay alone.
Forever sio
 
Back
Top Bottom