Marriage Box

Ni kweli na mara nyingi wanaume wakikosea kusema "sorry-samahani" ni kama kituo cha polisi.
Asee kuna uzito fulani huwa unakuwepo ila huwa ni jambo zuri kuomba samahani ili kuweka mambo sawa ktk mahusiano pindi tunapokosea Sky Eclat.

tunapokosea sema
 
Asee kuna uzito fulani huwa unakuwepo ila huwa ni jambo zuri kuomba samahani ili kuweka mambo sawa ktk mahusiano pindi tunapokosea Sky Eclat.

tunapokosea sema
Mwanaumbe kuomba msamaha anaona kama anajishusha.
 
Mwanaumbe kuomba msamaha anaona kama anajishusha.
Kiukweli ndio ni kuna uzito sana tunahisi twajishusha kuna mazingira mengine ya makosa huwa ni wazi kabsa ila sasa msamaha mbadala wake huwa twatumia "Yaishe Dear" .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…