Marriage Box

Na'am...
Au mfano wa kibao njiani...

Kinakuelekeza njia ya kwenda sehemu ambayo hata chenyewe hakijawahi kufika...

Ila nampenda sana huyu dada yangu Sky Eclat , ana constructive thoughts...

Likewise..
Yupo smart sana kwenye maswala ya mahusiano. Nitamtafutia binamu yangu..teh[emoji12] [emoji12]
 


Kwa wale wanaongojea Mr Right and Miss Perfect.
Ila kiukweli haya mambo yana umuhimu kuanzia chini sababu they mnavyojitengezea haya mazuri tho najua yaweza isiwe 100% but hata ukiwa na partner ambaye yuko tayari kujifunza na mwelekeo hata by observing what He/Her partner anachomfanyia huwa inaleta maana na uhai katika mahusiano mpaka ndoani. Kujaza Boksi kwa mazuri inahitaji ujasiri na kupiga Moyo konde hasa pale mwenzi wako akiwa haoni yote hayo bali Ni Upendo wa Agape uliokuwa nao ww.

Kumweka Mungu mbele, busara, hekima, na Kujaza Boski ukipata hayo katika karne hii ni jambo la kushukuru sana.
 
Likewise..
Yupo smart sana kwenye maswala ya mahusiano. Nitamtafutia binamu yangu..teh[emoji12] [emoji12]
Eeeeeh! umtafutie bnam yako ili baadae ugeuke manfongo sio? eti hainaga ushemeji!
 
Mimi nahisi ndio lengo lake kuu maana kwanini amtafutie bnam yake? I'm doubting.
Ameona hii neema ampendelee binamu yake...

Niya ya mtani wangu ni njema sana... Ya kumpenda binamu kama anavyoipenda nafsi yake.
 
Jamaa yangu mmoja ananiambia walikuwa kwenye ugomvi na mke wake, baada ya chat massages kukutwa kwenye simu, hakuwa na lakujieleza. Katikati ya sitomfahamu hiyo mama wa mume alilazwa hospitali, basi simu ilipigwa kwa mke kwanza, yule dada alikwenda dukani akamfanyia mama shopping ya night-dresses, nguo za ndani, sabuni, deodorant, mswaki, dawa, lotion akaenda navyo hospitali. Yule bwana anakwenda hospitali anamkuta mama yuko fresh, na anamwambia kweli umepata mke, sasa jamaa akifikiri alivyolikoroga nafsi inamsuta.
 
Haya mambo mara mwisho wake ndo ivo mtu hupatwa na aibu, aliyofanya huyo mwanamke ni jambo jema sana, sasa pata picha angeamua kuchachamaa pasingekalika. Ndo yale mambo watu husema, umuhimu wa mtu ni pale mpaka aondoke kwenye maisha yako au watu wanaona mema afanyao mwenzako lakini ww kujifanya huoni au makusudi tu.
 
Ni kweli na mara nyingi wanaume wakikosea kusema "sorry-samahani" ni kama kituo cha polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…