MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Mh okay kama wewe hutaki, je hao kina wifi hawajawahi kuku'tegeshea' vyao? kuna mwingine akija kukutembelea anaweka alama jikoni au kwenye kabati la nguo na akija mwingine anajua tu kuna rafu imechezwa!in short huwa sipendi watu wajue coz i strike like a player 2every gal................huh
inategemea na confidence ya mtu. ukiwa confident mbona huhitaji ku-mark teritorry? Ila kama unaona teritorry yenyewe ipo hatarini basi hivyo umetaja hapo ni tosha kabisa. ka nguo huku, lotion kule, maybe chain na medalion ya initial zako pia etc... hold hands, kiss na introduce him popote iwezekanapo...
Eh umewaza mbali sana Kaka yangu....... hakuna cha kunimadisha kwa umri huu mydia just read the thread as it is, there is nothing hidden that requires you to read between the lines because there are no lines in between!!sasa wewe wahitaji help from professional......
you are going mad now.............
usisahau mapenzi yalikuwepo kabla hatujazaliwa......huitaji kujifunza saana.......
mengine utajajua tu slowly.......
Eh umewaza mbali sana Kaka yangu....... hakuna cha kunimadisha kwa umri huu mydia just read the thread as it is, there is nothing hidden that requires you to read between the lines because there are no lines in between!!
So kwa kuwa yalikuwepo toka mwanzo basi tusijifunze, ndo unavyotushauri kaka yangu?
Thankx anyway.
women don't mark their territories.
kwa sababu wao ndio territories yenyewe....
labda ufanye decorations ya territories.....but mwenye kazi ya ku mark
hiyo territory ni mwanaume...
labda wewe utafute mbinu ya kumfanya yeye aanze ku mark hiyo territory.......
MJI...,Alama muhimu bana,pichu, lotion, perfumes, shoes, framed photo, shower gels,mtandio n so n so....,to me they hv 2 impacts;
moja nikiacha kitu changu nahisi kama nimeacha kitu ambacho kitakuwa kinamremind him of me u knw.., n secondly pia nasend ujumbe kwa mwingine atakayekuja ajue tupo wengi , na yeye kama anajiamini aache vya kwake, me love this game bana
I beg to differ The Boss.............. kila mtu ni territory ya mwenzie when it comes to love ukisema hivyo unavyosema wewe ni kama vile unasema mwenye kazi ya kupalilia penzi ni mtu mmoja!!
Nafikiri hata wanawake tuna 'mark our territories' hasa ukichukulia hiyo mifano michache......The Boss unatakakusema katika maisha yako yote ya mapenzi hujawahimpata mwanamke ambaye alifanya chochote cha kujihalalishia?? hata kuiweka picha yake kama screen saver kwenye simu yako??
nimekumbana na hiyo unayoita to mark your terrotory.....nyingi saana....
but honestly i was not impressed......
labda kwa kuwa nilikuwa najua ndo mchezo wao....
naikumbuka moja tu ambayo ilikuwa sikuiona kabisa.....
mapazia ya sebuleni yalibadilishwa...
funny thing kila alipokuja mwingine cha kwanza aliuliza hayo mapazia
ulinunua wapi?ni we mwenyewe ulinunua?
nikajua taste ya mwanamke namwanaume ilivyo tofauti...
ilinishangaza hiyo tu...
mwanamke anajuaje mwanamke mwenzie alama zake.....
nimekumbana na hiyo unayoita to mark your terrotory.....nyingi saana....
but honestly i was not impressed......
labda kwa kuwa nilikuwa najua ndo mchezo wao....
naikumbuka moja tu ambayo ilikuwa sikuiona kabisa.....
mapazia ya sebuleni yalibadilishwa...
funny thing kila alipokuja mwingine cha kwanza aliuliza hayo mapazia
ulinunua wapi?ni we mwenyewe ulinunua?
nikajua taste ya mwanamke namwanaume ilivyo tofauti...
ilinishangaza hiyo tu...
mwanamke anajuaje mwanamke mwenzie alama zake.....
AD aksante sana nimeupenda mfafanuo wako I hope now nitaeleweka ni nini nazungumzia (Ah sie walimu wa kata bana kujielezeeea sana hatuwezi!!) Thanx mamito.
Hahahha tusamehe bana kama tunakukwaza kuanzia leo za aina hii namwachia Mbu, mie ntakuwa naleta za kukufurahisha tu AD
ukiwa mjanja unafuta alama zote za mwanamke wako
kabla hujaleta mwingine...nguo,lotion,viatu unakusanya kwenye boksi
unaweka store....nilishindwa kugundua hiyo ya mapazia tu,basi..
later on niliyabadili pia lol
enzi hizo offcourse..lol