MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,011
- 41,294
E
Mkuu hebu toa vigezo vzr maana tangazo halijakamilikaAll in One General Supplies Ltd in Arusha is looking for competent marketing officers within Tanzania mainland. Whoever with enough qualifications may call 0754381844 or 0715381844 for further details on how to apply.
Pia kuna mtu anaweza kazi hiyo ndo maana nilitaka nijue vigezoMkuu hebu toa vigezo vzr maana tangazo halijakamilika
Ni kampuni inayosambaza lab equipments mashuleni. Wanatafuta vijana wa kufanya marketing mikoani.Mkuu hebu toa vigezo vzr maana tangazo halijakamilika
Kiwango cha elimu je?Ni kampuni inayosambaza lab equipments mashuleni. Wanatafuta vijana wa kufanya marketing mikoani.
Sasa mkuu kiwango cha elimu kipiNi kampuni inayosambaza lab equipments mashuleni. Wanatafuta vijana wa kufanya marketing mikoani.
Kuanzia certificateSasa mkuu kiwango cha elimu kipi
Ok ngoja nikucheki tuongee vzrKuanzia certificate