Marketing and public relation NIT

Marketing and public relation NIT

Mbona wenzako hatukufa kwa presha,

Dogo sikiliza unatakiwa uanze kujifunza ujasiliamali ukiwa huko chuo, ajira sasa hivi ni changamoto.

Fikiria uwalimu miaka 4 iliyopita na hali ilivyo sasa hivi.

Kama umepata mkopo tenga kiasi uanze kufikiri nn cha kufanya kiasi hata ukimaliza chuo unakuwa na kitu cha kufanya, usifikilie sana kuhusu kuajiriwa.
hhmm nisaidie bs ujasir amal upi nifanye nianze kujiandaa mapema msaada tu ndugu
 
hhmm nisaidie bs ujasir amal upi nifanye nianze kujiandaa mapema msaada tu ndugu
Swali lako gumu kwa sababu kuchagua biashara kuna vitu unapaswa kuangalia kabla ya kuingia kichwa kichwa.

Ukiwa unaingia JF pitia jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Utapata idea nyingi za kujifunza.

Kwa kuwa ww ni mtu wa marketing ambavyo utakaliangalia soko la bidhaa ama huduma yoyote itakuwa tofauti sana na mm ninayeuza bidhaa kwa kutumia traditional ways.
 
Wakuu mimi nasoma course ya marketing and public relation NIT nipo mwaka wa kwanza.nauliza je nikimalza nnaweza kuomba kazi sehemu gani? na je hii course inadeal na nini?[/QUOTEKachange uende logistics au procurement
 
Back
Top Bottom