sameer tamim
Member
- Oct 24, 2018
- 12
- 0
Wakuu mimi nasoma course ya marketing and public relation NIT nipo mwaka wa kwanza.nauliza je nikimalza nnaweza kuomba kazi sehemu gani? na je hii course inadeal na nini?
vipi tenammmmh aisee
kupata kazi ni ngumu bora bba
ndo naenda kusomaUnasoma Au Unaenda Kusoma?
Haya Nenda Kasome Lakini Ultakiwa Uijue Vzur B4 Hujaichagua.ndo naenda kusoma
Yaani unasoma marketing halafu una uulizia kuajiriwa, si mchezo.
Sasa ujajua kama utamaliza je ukidiscondo naenda kusoma
Kama unasoma inamaanisha si utakuwa muelewa na masoko ya bidhaa na huduma na hivyo kuweza kufanya ujasiliamali?kwanin unasema ivo
daah kwaiyo makampuni kama tbc startime siwez kuajiriwa?Kama unasoma inamaanisha si utakuwa muelewa na masoko ya bidhaa na huduma na hivyo kuweza kufanya ujasiliamali?
Lakini yapo makampuni yana maafisa masoko, afisa uhusiano nk labda ndio zitakuwa position zako, ila fikiria tofauti mzee watu wanasota kitaa.
khaa kwanini sasa?Kama ndo mwaka wa kwanza hakikisha unakuwa na leseni yako ya udereva kabla hujamaliza semester ya kwanza na semister ya mwisho mwaka wa mwisho hakikisha unakuwa na cheti cha driving cha nit ...hayo ya marketing nitakushahuri baadae
daah kwaiyo makampuni kama tbc startime siwez kuajiriwa?
Basi komaa uwe afisa uhusiano,yeah napenda niajiriwe dah
Mbona wenzako hatukufa kwa presha,hmmm ntakufa kwa presha