Marketers na drivers ni hawajatulia

Marketers na drivers ni hawajatulia

embojo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
175
Reaction score
41
Nimekuwa nikipata fununu kutoka Kwa madereva malori niliyowahi kufanya nao mahojiano na walikiri kuwa kila walipoenda safari iliwalazimu kuchukua wake kila Kituo walipopiga kambi.

Marketers, sales na loan officers nao ni hatari sana, huwa kazi zao zinawapelekea kufanya umalaya kutokana na malipo madogo ya ujira wao, they vulnerable because they mingle with a lot of people in their daily activities.

Most of them hawajaoa na kuolewa na they are against marriage beliefs and it's institutions.
 
Nimekuwa nikipata Fununu kutoka Kwa madereva malori Nliyowahi kufanya nao mahojiano na walikiri kuwa kila walipoenda safari iliwalazimu kuchukua Wke kila Kituo walipopiga kambi
Marketers,sales na loan officers nao ni hatari sana,huwa kazi zao zinawapelekea kufanya umalaya kutokana na malipo madogo ya ujira wao,they vulnerable coz they mingle with a lot of people in their daily activities
Most of them hawajaoa na kuolewa na they are against marriage beliefs and it's institutions
Vipi unasemaje kuhusu wasio na profesion lakini malaya mbwa...?
 
Hahhaaaa! TUTAKE RADHI KIJANA! Sales na marketing wana ujira mdogo? Labda kamahufiki targets! Kuse kweli kama ni kuwa exposed unakuwa exposed! UMALAYA TABIA YA MTU TU! Ila kiwa a natural akapata na chance matokeo yake yanakuwa EPIC!
 
Hakuna ukweli wowote. Tabia ya umalaya haijali kazi ya mtu.
 
Hahhaaaa! TUTAKE RADHI KIJANA! Sales na marketing wana ujira mdogo? Labda kamahufiki targets! Kuse kweli kama ni kuwa exposed unakuwa exposed! UMALAYA TABIA YA MTU TU! Ila kiwa a natural akapata na chance matokeo yake yanakuwa EPIC!

ha ha ha nisingekuona hapa ningekuita tu.........
 
Madaktari ni hatari zaidi, walimu wa primary+ sekondari na vyuo, ndio usisema! wanafanya ngono hadi maofisini..pia walimu wa vyuo vilivyo chini ya VETA, kama DATA STAR, A3 Institute, vyuo vya utalii, eagle wings, sijui nini..ni hatari ya dunia////.... wanafanyana na wanafunzi balaaaa
 
Back
Top Bottom