Nyau Pori
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 204
- 118
Ni kweli. Hata miaka ya 70 tuliokuwa tunaandgalia movie films za James Bond, mambo mengi alijuwa anatumia remote contoler kwa mfano kuwasha radio, kuwasha gari, video games, kufungua gari tukaapa kabisa hii haiwezi kutokea duniani. Sasa angalia dunia ya sasa.next level artificial intelligence, wa tz tunaona haya mambo ni yakufikirika wakati wenzetu tayari wako lab wanatest namna ya kuimpliment.
Mwanzoni mwa miaka ya tisini zilianza movie zinazohusisha laptop, hapo laptop ikipewa uzito usiofikirika, yani bodyguard wa rahisi kila aendapo anayo, unapoambiwa mambo yote kuhusu taifa yap kwenye briefcase computer unaona ni acting tu, kumbe huko watu wapo labs, leo watu wanaona kitu cha kawaida tu.
its just a matter of time hata hizi tv zitakuwa hazina maana, sababu kabla haijafika saa mbili tayari ishapata habari zote kiganjani mwako, tena as they happened, opinion za watu wengine ushazisoma, wenye hulka na habari za saa mbili siku hizi ni wazee wetu ambao bado wapo kwenye industrialization era, majority ya vijana tupo kwenye information era, kila kitu kiganjani mwako.
Tatizo kubwa lililopo ni vyuo vyetu bado vipo na sylabus za 90s, India ni wajanja sana, sylabus vyuoni maximum ni three years, matokeo yake engineer wa tz upande wa technology hana tofauti sana na mtu yeyote aliye na interest na technology.