Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,170
Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).
Unaambiwa mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.
Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.
Wewe unaingia Tsh Ngapi kwa siku?