Waache waendelee kutuletea video game... Acha sisi tuendelee kunyakua vilivyo vya thamaniHIMARS zimepiga daraja la crimea lakini daraja bado liko ngangari [emoji23][emoji23]. Na sikuhizi sizisikii
Waache waendelee kutuletea video game... Acha sisi tuendelee kunyakua vilivyo vya thamaniHIMARS zimepiga daraja la crimea lakini daraja bado liko ngangari [emoji23][emoji23]. Na sikuhizi sizisikii
Waache waendelee kutuletea video game... Acha sisi tuendelee kunyakua vilivyo vya thamani
Wawndelee kunywa mvinyo tu kutuliza maumivu!Kwahiyo unawaambiaje wale pro US wanaodhani urusi atapigwa vibaya sana mpaka Moscow?
CCM YA SA100 NI [emoji117][emoji90][emoji117][emoji90]TUSio kwamba Tanzania haina uwezo huo...
Lakin ubinafsi, ufisadi, sera mbovu ndo vinatufanya maskini hadi leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio ushangae propaganda ni ujinga kweliHalafu ndiyo mnasema hawa ni masikini yaani mtu anapigana vita huku anatoa vyakula na madawa na bado anajenga miundombinu kweli Russia ni baba lao
Sometimes hili neno sera mnalikoseaga tuSio kwamba Tanzania haina uwezo huo...
Lakin ubinafsi, ufisadi, sera mbovu ndo vinatufanya maskini hadi leo
WARUSI wameanza kikamilisha nyumba wanazojenga kwa ajili ya wakazi wa mji wa Mariupol. AFRCA TUKA KWAMA WAPI JAMANI
NYUMBA IZI HAZINA HATA MIEZI MI 4 TOKA ZIANZE KUJENGWA
wepi haowao wenyewe
Nimebaki nashangaa nadhani western media wanatudanganya sana.Hii huwezi kuikuta BBC,CNN .............Anagawa dozi, anachukua maeneo huku anajenga.
Nauliza tu, hivi zile Himar hazijaweza kukomboa maeneo Urusi aliyochukua?
Haha waulize Finland wanawajua warusi vizuriUrusi nawaelewa sana... Kuliko wakubali hayo maeneo yarudi, ni heri robo tatu ya wakaazi wa dunia wafe
Endelea kuota...nchi 30 zinapokusanyana (NATO) kwenda kumkabili nchi moja (Urusi), unafikiri hiyo nchi ni ya kawaida? Mahesabu ya kawaida ni kuwa huyo anaechangiwa ndo mwenye nguvu zaidiWawndelee kunywa mvinyo tu kutuliza maumivu!
Kama ni kweli basi, propaganda zilizoendeshwa na western media ni kiboko.
Hivi Putin hela anatoa wap kujenga hii miji na kutoa ajira mpya za jeshi
Si tunaambiwa uchumi wake umedorora
Acha wafurahie Himars siku kutangazwa kuisha kwa operations hata kaeneo ka kuweka Himars zao hakapo ndipo watajua vita si kuripua ripua bila malengoAnagawa dozi, anachukua maeneo huku anajenga.
Nauliza tu, hivi zile Himar hazijaweza kukomboa maeneo Urusi aliyochukua?