wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Kazijenga kwa kudhulumu mafao ya wastaafu,ovyo tu yule jamaa.Tanzania hela ikitoka kwa matumizi sahihi mbona ni ndani ya miaka michache tu unajenga hizo flats. Mbona Magufuli kazijenga Magomeni ndani ya miaka yake michache tu