Marine traffic data post

Marine traffic data post

Kilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ilisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel ikiruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,.....ikitokea ukasupport tu UNABARIKIWA
 
Bei ya mafuta imeshuka leo Jumatano, kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya dola 100 kwa pipa.

Hii inafuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump katika Ofisi ya Oval jana usiku kwamba nchi hiyo itaondoka Iran "hivi karibuni" na hatua za kijeshi zinaweza kumalizika katika wiki mbili au tatu.

Hata hivyo, bei za mafuta ghafi ya Brent zinabaki kuwa juu kwa 39% ikilinganishwa na tarehe 28 Februari, wakati vita vilianza na Iran ilipofunga Mlango-Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usambazaji wa mafuta na gesi duniani.
1775034590232.jpg
 
wasomi wa tanga mnatusaidiaje hapa kwenye hili mkuu?
Mtupe nchi ili tuachane na wavaa suti ombaomba ,kila kitu tunanunua mpaka madawa ...Yaani mpaka Rais wetu anatakiwa asome elimu za wazungu ili awe kibaraka.

Tumeaachia nchi ili muendeleze vibaraka ,tulishaitoa kwa wakoloni kazi kwenu wabara .
 
Bei ya mafuta imeshuka leo Jumatano, kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya dola 100 kwa pipa.

Hii inafuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump katika Ofisi ya Oval jana usiku kwamba nchi hiyo itaondoka Iran "hivi karibuni" na hatua za kijeshi zinaweza kumalizika katika wiki mbili au tatu.

Hata hivyo, bei za mafuta ghafi ya Brent zinabaki kuwa juu kwa 39% ikilinganishwa na tarehe 28 Februari, wakati vita vilianza na Iran ilipofunga Mlango-Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usambazaji wa mafuta na gesi duniani.View attachment 3565572
Acha uongo hawa ni wafadhili wenu nyi CHADEMA ,machawa tena wasaliti wa waafrika...Huku USA maisha yamepanda na gesi iko juu pia..
 
Mtupe nchi ili tuachane na wavaa suti ombaomba ,kila kitu tunanunua mpaka madawa ...Yaani mpaka Rais wetu anatakiwa asome elimu za wazungu ili awe kibaraka.

Tumeaachia nchi ili muendeleze vibaraka ,tulishaitoa kwa wakoloni kazi kwenu wabara .
🤣 wabara tunajiita "watanganyika" kwa sasa.

nchi labda muichukue kwa nguvu tu
 
"Ni kweli Marekani ameleta mabadiliko ya mfumo wa Utawala ila sio Iran bali Mlango Bahari wa Homuz, fuata sheria yetu hakuna Meli ama chombo chochote kupita bila kulipa ama ukaidi ulipuliwe, mfumo mpya ndio huu ile miaka 47 ya kupita bure sasa imetamatika rasmi”

Brigedia Jenerali Ebrahim Zolfaghari, Msemaji wa Central Army Iran 🇮🇷
1775052585038.jpg
 
jana jioni nimepandaa boda nauli ni 1000 ila leo asubuhi naambiwa 1500 na umbali ni sawa na ule wa jana jioni,,, nikajisemea acha tu nitembee nifanye mazoezi maana nitafika tu,,, sikua na budget ya nauli buku jero shida inakuja kwenye jua yaaani linachoma mpaka basi
 
Na hata kama mafuta yatashuka vitu haviwezi kushuka bei tena
 
Back
Top Bottom