Sky Park " Marina Bay Sands is located on the 200-meter height (about 60 stories high) on the three skyscrapers, as if on three pillars. Here is the most expensive in the world of casinos , bars, restaurants, the largest outdoor swimming pool, 150 meters long and even the Museum of Modern Art.
Naimani mkuu wetu wakaya atakuwa ameshafika huko, au kama vp mfowadie. Natamani aende huko ili akatuletee wawekezaji waje wawekeze kama hizo nyingi hapa kwetu.
ila tuache masiala jamani, kuna watu wanafaidi sana angalia huyo mshkaji na hako kabinti, yaani kabichi kabis kabisa, sina cha kuongeza hapo mie. Nusura nishike picha hapo kwenye nyonyo hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hahahaaaaaa wee acha tu, hivi kwa mfano mtu anakudai, ndio anakukuta unakula bata huko juu si anaweza kukurushia chini huko? au wale jamaa wanang'oa kucha za watu na meno........hahaha ahuko mbali bhana