Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Ni TV Station yetu ingekuwa inazungumziwa ITV, hapo ungeweza kusema hivyo...kumbuka Marin ameajiriwa na watanzania siyo ya wana-CCM kama vipi CCM waanzishe TV station yao halafu wamwajiri huko au watuambie TBC ni mali ya CCM maana hawashindwiWa mjengoni, kwanini unajitafutia maudhi? Why watch this TV station! Thank God mimi kwangu haipatikani!!