Marie Jose alimfanya nini lokasa, nyimbo hii alikuwa anaipenda sana dingi miaka ya 1993 nikiwa std 1, krismas dingi alikuwa akiwenda kanda na kuirudisha nyuma mpaka tuliposinzia,
Hii album nadhani imetoka kama sio mwaka 1989 basi 1990, ilivuma sana hii album na ukiacha wimbo huo kuna ule wa Helena. Ninao huo wimbo wa Maria Jose ambao aliimba Balou Canta ila utunzi wake Lokassa ya Mbongo kwenye kundi la Soukous Stars.