Saint joseph km unaenda kusomea masuala ya afya kile chuo kitamu tena sanna sanina.Wakuu msaada jamani ,kati ya Marian na saint Joseph, wapi kutamu jamani? Chuo gani kina changamoto mbaya?
Mbona hivyo vyuo vyote viwili kama huna mkopo Na hujiwezi naona kama vyote utatesekaWapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo
Bora uende marian kwa categories ulizotaja maana maisha ya bagamoyo kidogo yana uafadhari ukilinganisha na dsm ila sijajua marian ipi unayozungumzia..Wapi kuna mazingira mazuri? Wapi elimu yake ni nzuri? Wapi naweza ishi bila kuteseka sababu sina mkopo