Maccm mtajuana wenyewe. Sisi na siasa na maji na mafuta, hatuchangamaniSote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.
Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.
kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.
Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.
Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
Sio vibaya ukisema toka achaguliwe, ameifanyia nini Kondoa?..Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.
Anajua anazotoa atazipata akiula ubungeSote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.
Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.
kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.
Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.
Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
Sasa kutumia pesa nyingi KUTOA MISAADA kwenye makundi mbali mbali si ndio maendeleo yenyewe!?,hapo kati yako na yeye nani anasaidia jamii yake!?,kwanini huyo Makoa naye asijibu mapigo kwa kugawa pesa zaidi!?.., badala yake unaanza kulalamika hovyo. Nenda kamshauri naye acheze rafu. Siasa sio lelemama, bora huyo, majimbo mengine wanatoana roho kabisa kisa ubunge.Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana KUTOA MISAADA kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
Waache wafu wawazike wafu waoSote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.
Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.
kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.
Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.
Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
Kwa mtanzania wa kawaida wanapoparurana wana chukua chako mapema mtanzania mwenye akili njema hutarajia wajifunze walipokosea,ila hamna,na inaweza kuwa ndio ile maana ya fungu la kukosa ama sikio la kufa dawa haifui dafu😂Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.
Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.
kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.
Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.
Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
Kwenye chafuzi 😎Ni mbunge gani wa ccm ambaye hatoi rushwa?????