Mariam Wangwe na Jukwaa la Wahariri

Status
Not open for further replies.
Huu ndio usanii; kama ripoti iko tayari iwekwe wazi watu waamue wenyewe. Hivi wanafikiri itaathiri uchaguzii kwa namna yoyote ile? Kwa kuificha na kutoiweka wazi lakini kuwaambia watu kuwa ipo tayari hawaoni kuwa tayari wanaathiri uchaguzi?

Tarime, kuna vyama vitashindwa na kuna chama kitashinda. Hili halihitaji ripoti. Tatizo ni kuwa kwa kuficha ripoti inaoonekana wanataka chama fulani kishinde na vyama vishindishwe.

Hivi walipounda hiyo tume yao walikuwa hawajui kuwa kuna uchaguzi? Si wangesubiri hadi baada ya uchaguzi kuunda tume hiyo?

Hiyo ripoti nisahihi iwekwe pending hadi hapo uchaguzi utakapoisha. Nina hakika kama ripoti itatoka sasa hivi itakuwa ndiyo silaha ya kwenda mahakamani kwa wale ambao watashindwa uchaguzi hasa CHADEMA.
 
Kuna mwenye ripoti kamili ya Jukwaa la Wahariri atuwekee hapa? Sio ile summary waliyotoa kwa waandishi, iwekwe ripoti kamili

PM
 
Hiyo ripoti nisahihi iwekwe pending hadi hapo uchaguzi utakapoisha. Nina hakika kama ripoti itatoka sasa hivi itakuwa ndiyo silaha ya kwenda mahakamani kwa wale ambao watashindwa uchaguzi hasa CHADEMA.

Mbona haikuwa tena silaha kwa walioshindwa ? oops ! hawakuwa Chadema lol.
 
Mbona haikuwa tena silaha kwa walioshindwa ? oops ! hawakuwa Chadema lol.

Tehe teh.. Umdhaniaye ndiye kumbe siye naona mabo yalikwenda ndivyo sivyo.

By theway, huyu Mariam ndo kina nanihi walisha mtumia na kumdamp? make siku hizi simsikii tena habari zake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom