Maria Sarungi: Maisha ya Godbless Lema hatarini

Maria Sarungi: Maisha ya Godbless Lema hatarini

Chama kimetekwa wanacheza dance toka nairobi kashindwa zika baba yake kwa ujinga tu anataka wote wafanane!

Hawa?

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg
 
GODBLESS LEMA LIFE IN DANGER‼️
A very reliable source has informed me - they want to diaappear Godbless Lema that is why they are camped outside Chadema HQ

@godbless_lema wanataka kukuua mtu aliyeoko kwenye mfumo kanitaarifu.

Hawa walioko hapo wanataka kuondoka na wewe

Sources: Maria Sarungi X(twitter)

View attachment 3314197
Mlisema
Mtakunikusha.Ndio kinanuka
 
GODBLESS LEMA LIFE IN DANGER‼️
A very reliable source has informed me - they want to diaappear Godbless Lema that is why they are camped outside Chadema HQ

@godbless_lema wanataka kukuua mtu aliyeoko kwenye mfumo kanitaarifu.

Hawa walioko hapo wanataka kuondoka na wewe

Sources: Maria Sarungi X(twitter)

View attachment 3314197
Mmh.....hatari hii
 
Lema is very clever and tactical. He rarely exposes himself where there's danger....that's why police will arrest Tundu, Wenje etc but not Lema ...if it happens is accidental...

He knows how and where to hide. We know him in Arusha ... he is undisputed a good mobilizer...no arguments at all. with all maandamano back in Arusha he was rarely scrached, injured or bruised....after maandamano he would still look clean.. his shirt tucked in as he always appears.....

"Did Sarungi and Karua succeed in their save Dr Besigye mission ?"

Dalili za awali za ushoga hizi
 
Hu
GODBLESS LEMA LIFE IN DANGER‼️
A very reliable source has informed me - they want to diaappear Godbless Lema that is why they are camped outside Chadema HQ

@godbless_lema wanataka kukuua mtu aliyeoko kwenye mfumo kanitaarifu.

Hawa walioko hapo wanataka kuondoka na wewe

Sources: Maria Sarungi X(twitter)

View attachment 3314197
Huyo mzushi kwanini asije kujiunga na nyumbu wenzie. Lema nani anamtafuta? Kwa lipi? Mmezoea uzushi
 
We
Hii ndiyo faida ya nyumbu kushangilia kifo cha Magufuli
We ngedere kila siku Magufuli tulishakuambia umfuate, ht mke wake hamkumbuki we nani kumwabudu binadamu mwenzako? Huyo mfu wako ndiye aliyewasambaratisha, kuwaua na kumkosakosa kumwua Lissu, hao nyumbu kina Lissu, Heche, Lema walikimbia nchi Magufuli yupi tena unamzungumzia? Sazingine uwe unaona ht haya. Leo sukuma gang mmeungana na hao nyumbu siyo? Hamtatoboa nyie ngedere na hizo siasa za kishamba. Hayo majinga hayajui siasa watamalizwa wasipoangalia
 
They want to disappear ....Nathani huyo dada awe anandika kiswahili mana English yake haimake sense wakati mwingine
mi ilibidi niende akili mnemba kuhakiki maana nimeona maneno hayatamkiki kabisa
 
GODBLESS LEMA LIFE IN DANGER‼️
A very reliable source has informed me - they want to diaappear Godbless Lema that is why they are camped outside Chadema HQ

@godbless_lema wanataka kukuua mtu aliyeoko kwenye mfumo kanitaarifu.

Hawa walioko hapo wanataka kuondoka na wewe

Sources: Maria Sarungi X(twitter)

View attachment 3314197
hata hivyo anadaiwa mno karibu na kausha damu finance zote Arusha na Dar, kuna wanaomdai wengine amewablock na hao ndio wanamfanya aione bongo chungu,

mbaya zaidi mke wake huko ng'ambo wazungu wanamfurahia tu.

So,
maria anamuonea huruma na msaada alionao ni script kama hizo kwamba he is in danger, ng'ambo wampokee kama mkimbizi wa kisiasa, na ukweli kausha damu wanaweza kupita nae mazima akiendelea kujificha na kuishi kama sungura humu mjini 🐒
 
Back
Top Bottom