Maria Sarungi: Independent Candidate?

Kuongoza nchi kwa sababu umemfuatilia tweeter!!!!????

Seriously ndio urais umekuwa hivi sasa???!!!
Asee. .,. . . . . . !!!!!

Hosni Mubarack alipinduliwa kwa tweets tu. Usiichululie poa twitter na mitandao mingine ya kijamii. Maria ni makini sana na hata mimi namuunga mkono kuongoza ofisi umma one day hata kama si urais
 
Watu kama huyu mleta mada ambao wanadai wana kitu inaitwa ''exposure'' ndiyo wa kwanza kurudi hapa janvini na kuanza kutoa kejeli eti CCM inapata kura kutoka kwa watu ambao hawana elimu wakati ukweli ndiyo huu.

Eti mtu anapitishwa kuwa kiongozi anayefaa baada ya kumkubali kutokana na tweets zake. GOD forbid!

Wananchi wengi wapiga kura siyo wajinga kwa kiasi hiki!.

Wananchi wengi wanatumia hekima na busara katika matumizi ya haki zao za kidemokrasia kwenye sanduku la kura.

Ni hawa hawa kama mleta mada baada ya kumchagua utawasikia baadaye wanaanza kusema, huyu ni mamluki au msaliti huku wakisahau kuwa maamuzi yao ya kitoto ndiyo yamemuweka kuwa kiongozi.

Hizi ndizo siasa za ''kizazi kipya''.
 
Huyu ni another kid raised by pesa ya walalahoi she think babake alikuwa waziri na yeye anaweza kuwa nimeshawahi kutana naye IQ yake less than average. .....asitupotezee mda.

haters everywhere.
 

Watanzania wengi bado tuna ile IMANI ya kuwa MPINZANI wako ni ADUI yako.Mpaka hii ikiituingia akilini kwamba MPINZANI si adui bali ni utofauti wa mawazo na fikra tu.

Hata ukisoma kwenye hoja za baadhi yetu ukiwa tofauti tu na mtoa hoja au post basi utaambulia matusi na kashfa.Hatupendi kujifunza siasa safi zenye afya.Kiongozi kwetu mzuri ni yule tu aliyetoka chama Tawala,wengine wote hata wakiongea chenye maana kwa Taifa kwa sababu ni WAPINZANI basi watatukanwa mpaka kwenye chupi zao,yaani ni shidaaaaaaaaaaaaaa tu.
 
Hafai hata siku moja, huyu dada namjua kindakindaki, pamoja na kwamba anapendelea kuvaa vichupi... ni swahiba mkubwa wa Zitto Kabwe na ndiye alikuwa anatembea kwenye mikoa kuomba viongozi wa CHADEMA kumkataa Mbowe.
Siku hizi kuwa na ukaribu na Zitto ni sawa na disqualification? That's according to Mbowe's supporters point of view, very funny indeed!
 

Tuambie kwanza Jakaya alifanya nini cha maana kwako hata ukampigia kura kumchagua kuwa rais
 
Hana lolote huyo mwanamke. Yaani hii nchi bana shida kweli kweli. Mtu akitweet huku akinukuu vitabu vya zamani basi mshaconclude kuwa anafaa kuwa kiongozi. Me namfahamu vizuri sana huyu binti, hana lolote zaidi ya sifa na kutafuta wanaume wa kisiasa. Nikikutajia wanaume waliopita naye kwenye bunge la katiba unaweza kuzimia.....
 
Hosni Mubarack alipinduliwa kwa tweets tu. Usiichululie poa twitter na mitandao mingine ya kijamii. Maria ni makini sana na hata mimi namuunga mkono kuongoza ofisi umma one day hata kama si urais
Issue sii tweeter ila mtu kusema mtu fulani anafaa kuwa ABC sababu tu anamfuatilia tweets zake!!!
Ukiweka vigezo vya mtu makini ili apimwe kwavyo itakuwa more objective! !!!
 

huwa nashindwa kumtofatisha na SALAMA. sorry for that
 
Wengine ni wepi katika hiyo sample yako mkuu??!!!

Kwani nimekuambia na_present research or survey findings hapa hadi uliizie sample? You're going out of the context mkuu,all in the name of arguing and partisan fanaticism!
 
Issue sii tweeter ila mtu kusema mtu fulani anafaa kuwa ABC sababu tu anamfuatilia tweets zake!!!
Ukiweka vigezo vya mtu makini ili apimwe kwavyo itakuwa more objective! !!!

bado unaendelea kutetea hoja yako ya kudharau twitter japo nakushauri uache. Sababu zinaweza kuwa nyingi na hata hiyo ya tweets si ya kupuuza. Yule mdada si rahisi kukutana naye one on one kwa hiyo njia nyepesi ya kukutana naye ni kupitia social media. kama unataka CV ya Maria omba upewe.
 
Kichuguu,
Unamfahamu kidogo sana huyu dada. Ana hasira, ana visasi na hana analojua kwenye siasa. Hata kule BMK alikwenda mtupu kabisa hata sijui aliteuliwaje!

Nchi hii anayeonekana kuwaunga mkono political celebrities wetu hapa bongo basi naye anaonekana anafaa kwelikweli.
 

Nikikutajia wanawake aliopita nao jk unaweza kuzimia lakini ni kiongozi wa nchi.
Huyu mwanamama kuongoza nchi si size yake hata mleta mada hakumaanisha agombee urais. Tunachokisema hapa ni ubora wake kichwa na uwezo wa kupambanua mambo!!!!
 


Usichanganye chuki kwenye mambo ya msingi, hapa tunaongelea uadilifu wewe unakuja na mambo ya ajabu ajabu. Kama angekua na shida na wanaume kama unavyotaka tuamini asingeondoka dodoma kabla ya mda wa bunge la katiba kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…