Marekebisho ya sheria ya manunuzi ya serikali. Serikali haikujipanga.

Chillo97

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
630
933
Nimefatilia bunge la mchana huu mjadala juu ya sheria ya manunuzi.
Mwanasheria mkuu wa serikali anaweweseka marekebisho ni mengi sana.
Mapendekezo ya wabunge wengi yamepita na kuondoa yale ya serikali hadi waziri wa fedha na mwanasheria wamepaniki sana na kusema kwa marekebisho hayo mengi ya wabunge sheria inaweza kuyotekelezwa vizuri..


Najiulize je serikali haikujipanga juu ya mswada huu??
 
Back
Top Bottom