Marekani

Marekani

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Kwa nini Marekani wanaiwekea vikwazo Urusi?? Na sio Urusi kuiwekea Marekani vikwazo!!!!
 
Kwa nini Marekani wanaiwekea vikwazo Urusi?? Na sio Urusi kuiwekea Marekani vikwazo!!!!

Urusi ana maindi mambo yake. Marekani mnafiki mchonganishi. Hata hivyo vikwazo anavyoweka anaongea tu kutafuta umaarufu duniani. Njaa inamsumbua.
 
Kwa nini Marekani wanaiwekea vikwazo Urusi?? Na sio Urusi kuiwekea Marekani vikwazo!!!!

Jiulize kwa nini serikali ya ccm imewawekea vikwazo bodaboda na bajaji wasifike mjini na si bodaboda na bajaji kuiwekea vikwazo serikali ya ccm?

Maswali ya ajabu ajabu,hujibiwa kwa hoja za ajabu ajabu.
 
Ajabu kivipi?? Dadavua mkuu
Mbona mwenzako katoa point na kaileweka??
 
Urusi ana maindi mambo yake. Marekani mnafiki mchonganishi. Hata hivyo vikwazo anavyoweka anaongea tu kutafuta umaarufu duniani. Njaa inamsumbua.

Ngoja tuone mwisho wake
 
marekani imeiwekea vikwazo vya kiuchumi urusi kwa sababu ndiyo taifa linaloongoza kiuchumi duniani, wataalamu wa uchumi duniani wanakwambia 60% ya uchumi wa dunia unashikwa na marekani, 40% ya uchumi wa dunia ndiyo unagawanywa kwa nchi nyingine ikiwemo urusi, china, nchi za ulaya na kadhalika.
 
Uchumi wa dunia hivi sasa unaelemea mashariki,yani east asia,ndo maana lundo la wafanyabiashara wanaelekea china,thailand,india etc kufata mizigo tofauti na zamani mpaka uende ulaya.hata america wenyewe mzigo wanachukulia chini ndo maana taifa la marekani wanalitania na kuliita,WALMAT SHOPPERS.

Walmat ni msululu wa maduka yanayouza bidhaa za kichina marekani.

Russia anashikilia deni la marekani(anaidai)lenye thamani ya dola bilion 165,wameshika in Treasure Bond.
 
Ngoja nikupinge,marekani GDP ni dola trillioni 15,china GDP ni dola trillioni 12,japan dola trillion 4,hapo bado uk,germany,russia,france ambazo zipo kwenye dola trillion mark.
40 percent ya GDP duniani inashikiliwa na middle east&asia

marekani imeiwekea vikwazo vya kiuchumi urusi kwa sababu ndiyo taifa linaloongoza kiuchumi duniani, wataalamu wa uchumi duniani wanakwambia 60% ya uchumi wa dunia unashikwa na marekani, 40% ya uchumi wa dunia ndiyo unagawanywa kwa nchi nyingine ikiwemo urusi, china, nchi za ulaya na kadhalika.
 
Ngoja nikupinge,marekani GDP ni dola trillioni 15,china GDP ni dola trillioni 12,japan dola trillion 4,hapo bado uk,germany,russia,france ambazo zipo kwenye dola trillion mark.
40 percent ya GDP duniani inashikiliwa na middle east&asia
kwenye hizo chumi zote ulizozitaja marekani ama ina share au imeikopesha serikali husika au ina makampuni yake yanayozalisha. sasa taja kampuni lolote ambalo unadhani marekani haina share, labda uniambie mkulima wa viazi wa tanzania, lakini naye akivisafirisha tu tayari anachangia kwenye uchumi wa marekani kupitia petrol, diesel n.k. ambavyo marekani ana share.
 
KWa TAARIFA ZILIZOPO URUSI IMEANZA KUIWEKEA VIKWAZO MAREKANI...na imeanza kuwafungia Viongozi wa Kuu wa Marekani wasikanyage Urusi. Soma maelezo zaidi hapa.

US House Speaker John Boehner (R-Ohio), Senate Majority Leader Harry Reid (D-Nevada), and a number of other US officials have been placed under sanctions imposed by the Russian government.

Moscow’s sanctions which came in retaliation for US sanctions against a number of Russian officials targets a bipartisan group of six US lawmakers and three White House officials. The names of Senate Foreign Relations Committee Chairman Robert Menendez (D-New Jersey), and senators John McCain (R-Arizona), Mary Landrieu (D-Louisiana), and Dan Coats (R-Indiana) appeared on the reciprocal sanctions list issued by Russia’s Foreign Ministry. Deputy National Security Adviser for International Economics Caroline Atkinson, senior White House adviser Daniel Pfeiffer, and Deputy National Security Adviser Ben Rhodes were also targeted by the Kremlin’s sanctions.

McCain, Menendez, and Boehner said they were happy that their names were on Russia’s sanctions list.Moscow’s sanctions came after US President Barack Obama expanded the list of Russian individuals targeted by Washington’s sanctions and put Bank Rossiya on the list, too. The names of twenty seven Russian officials have so far been placed on Obama’s sanctions list.“Treating our country in such way, as Washington could have already ascertained, is inappropriate and counterproductive,” read a statement published on the Russian Foreign Ministry’s website.“Nevertheless, it looks like the American side continues to blindly believe in the effectiveness of such methods, taken from the arsenal of the past, and does not want to face the obvious: the people of Crimea, in a democratic way in full accordance with international law and UN regulations, voted to join Russia, which respects and accepts this choice. You may like this decision or not, but we are talking about a reality, which needs to be taken into consideration,” the statement added.

Nearly 97 percent of residents of the Black Sea peninsula of Crimea voted to break away from Ukraine and rejoin Russia in a referendum on Sunday.On Monday, Crimea declared independence and formally applied to become part of Russia. Next day, Russian President Vladimir Putin signed a treaty making Crimea part of Russia, saying the vote demonstrated the overwhelming will of the Crimean people to be reunited with Russia after 60 years as part of the Ukrainian republic.

PressTV - Russia sanctions target US Congressional leaders
 
kwasababu united states considered himself as superpower in the world na hataki taifa lingine duniani kuchukua nafasi hiyo.
 
Jimbo moja la California leo likiwa ni nchi kamili basi itakuwa nchi ya 3 kiuchumi duniani .

Nafikiri ushaona nguvu ya kiuchumi hapo. Je uweke states 49 nyingine.

Pia baada ya vita vya pili vya dunia nchi za ulaya magharibi zilianguka kiuchumi sana. Rais wa marekani kipindi icho akaanzisha sera ya Marshall plan lengo ni kuziinua kiuchumi nchi za ulaya magharibi hasa kiviwanda na miundo mbinu ili kuleta ajira.

Baadaye akaanzisha NATO umoja wa kujiami wa nchi za ulaya magharibi.

Toka kipindi wakawa wanaungana mikono na wababe. Unajua umoja ni nguvu.

Pia lengo kuu la umoja huo kuwa na sauti moja pia ikitokea vita gharama itapungua sababu nchi zitakuwa zinachangia pesa au vifaa
 
Binafsi naombea Russia na nchi za Asia ziwe nguvu kuzidi USA na washirika wake NATO, Labda huku Africa tutapumua.!
 
Ngoja nikupinge,marekani GDP ni dola trillioni 15,china GDP ni dola trillioni 12,japan dola trillion 4,hapo bado uk,germany,russia,france ambazo zipo kwenye dola trillion mark.
40 percent ya GDP duniani inashikiliwa na middle east&asia

Mkuu cheki your data source again. Last time I checked the data looked like this USA 16 trillion, China 9 trillion; Top 10 Countries With Highest GDP in 2013 | Allzinfo.com
 
Back
Top Bottom