Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,513
- 8,276
- Thread starter
- #41
ebu tuambie anayeongeaga ukweli? najua huna jibu umebaki kukodoa macho tu! ee kama unalo jibu ebu jibu sasa ni nani anaongeaga ukweli?Tangu lini marekani akaongea ukweli...hizo zote ni propaganda, na sisi waafrika tumekutwa hatuna akili, mambumbumbu! tunaamini chochote tunachoambiwa na wazungu