Marekani yarudisha mapigo baada ya meli yake kushambuliwa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa.
Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni baada ya meli ya Marekni ya kivita kurushiwa makombora bila hofu wala kuionea haya.Meli iliyoshambuliwa ni ile inayobeba ndege za kivita ambayo inakuwa ndio kiongozi wa meli ndogo ndogo zinazoamatana nazo.
Ikumbukwe vita kati ya Houth na washirika wa Marekani ambao sasa wamebaki watatu vimeanza takriban mwaka mmoja na zaidi tangu pale Israel ilipoivamia Gaza.
 
Kumaliza vita duniani ni kufanya kama Marekani alivyofanya Hiroshima Japan atomic bombings 1945 Mpaka dunia inatetemeka. Lakini ukipiga unadonoa donoa wahuni houth watakuchezea. Hata kwenye boxing, knock out ndiyo mwisho wa mambo yote.
 
Tatizo marekani imefaamika sasa kiwa inatumia technology ya kizamani ktk system zake nyingi ndio mana Muiran anamdhalilisha kila seem iliazia Iraq kwenye kambi zao marekani ikaja Saudia Arabia nasasa kwa toto lake pedwa israel inateswa na technology ya Iran izo meli kwasasa sio ishu uwa tu zinapigwa tu uko nyuma ilikuwa ni ngumu kugusa kifaaa au kambi za marekani lkn sasa Iran anawachezesha sindimba baba na mtoto wake!! Wazungu wamekuwa weupe kwasasa Dunia duara sasa kizaz chenye janja kinatokea IRAN.
 
Unapenda sana kuhamasisha vita!? Iko wapi Iraq ya Sadam Hussein!? Iko wapi Libya ya Gaddafi!? Au Syria ya Assad!? Hao wote hawakuwa na majeshi!? Waliishia wapi!? Naamini unaelewa walipoishia.

Sasa hata huyo Iran unayedai kizazi janja kinatokea kwake, ameuawa Nasrallah hapo hapo Jijini Tehran, huku hicho unachokiita "kizazi Janja" kikishindwa kumuokoa. Endelea kuropoka.
 
Nasrallah kauwawa wapi!!! Acha pupa jibu talatibu !!!
 
Nakuongezea hili kwasasa Supar Power wa Mid Est ni IRAN iyo LIBYA IRAQ wakati wanaangushwa Iran aikusaidia Chochote Sababu walikuwa wapinzani wao!!!!

Apo Syria napo ni mapinduzi ya kijeshi lkn pia uyo Assad akuwa mtiifu wa Ayatollah muonekana wake na mke wake watoto wake!!!

inatosha kukuelewesha kuwa ASSAD akuwa mtiifu wa Ayatolllah lkn IRAN ilikuwa inamtumia ivyoivyo kwa heshima ya BABAKE Assad!! na vile vile IRAN ilitaka iwe na uhuru apo Syria!!! Kwaajili ya Israel !!!!

Wale wahouth Yemen na Hezbollah ndio pekeee wapo chini ya IRAN Ayatollah picha yake utaikuta ukutani kwenye ayo maeneo walipo Hezbollah!!!

sasa niambie WAZUNGU miaka mingapi wamepigana kupitia Saud Arabia kuondoa ao wahouth na Wamechemka!!!?

HEZBULLAH ipo apo Lebanon NETANYAHU kafunga mkataba na Serikali ya Lebanon kwaniaba ya Hezbullah wangekuwa awana kitu Netanyahu angejisumbua kufunga Mkataba..!!!!!!
 
Back
Top Bottom