Tumia vizuri akili yako!! Marekani huko Afghanstan walikuwa kama watawala mpaka wameweza kubadirishana marais wameisimamia nchi hiyo mpaka imekuwa stable na waliondoka huko si kwa kushindwa kwenye Medani ya vita la hasha kulikuwa na makubaliano ambayo yalifikiwa na ndiyo maana hata hizo zana za kivita waliachiwa kwa makubaliano wala si kwamba waliviteka kwenye mapigano. Magari,ndege viliachwa huko kwa sababu kwanza havina madhara hata wao hawawezi kuvitumia maana hakuna anayejua kuvitumia ukiondoa magari ambayo watayatumia kwa muda mfupi tu kisha yatakosa spares ambao hawawezi kuzipata popote isipokuwa marekani tu. Una pia ndege nyingi tu waliachiwa lakini hawawezi kuzitumia ipasavyo maana hakuna rubani atakayeweza kuzirusha na wakikurupuka zinaweza kuwaingiza matatani wao wenyewe kwa hiyo usifurahie sana hizo ndege zimeachwa kwa maksudi maalum. Kumbuka pia marekani wakati wanaondoka huko waliondoka na maelfu ya raia ambao sasa hivi wanaishi Marekani sasa hiyo kauli yako ya kuwa Wamekimbizwa chupi mkononi haina uhalisia!!!Ni juzi tu Marekani na NATO wamekimbizwa chupi mkononi na Taliban huko Afghanistan na wakaacha zana zote za kivita
vifaru,ndege, magari ya deraya,
Ushaidi umewekwa wa ndege iliochapwa mlokole ww Unadhani watu waongo kama ww umu jukwaani wewe ndio muongo namba 1 Habari zako nyingi azina chanzo.!!!! Uwongo kwenu ni ibada tunajua.. tunaona tunasikia!!!Wewe umeolewa na waarabu? Maana inaonekana wazi umeolewa!!
Ndugu hayo ni MADAI ya Wahouth tu na hayajadhibitishwa na upande wa pili. Houth wenyewe hawajatoa ushahidi wowote kuhusu kuiangusha ndege hiyo hakuna picha wala video kudhibitisha madai yao. Tunajua kabisa madai mengi ya magaidi ni uongo ili tu waonekane wana nguvu kumbe hawana.. ukitaka kupata ukweli lazima upate na upande wa pili au picha ya tukio au video. Na wewe usiwe mjinga wa ku copy kila kitu hata ambavyo ha Ina ukweli wowote.
Endelea kujidanganya!! Hata kwa magaidi wa Hezbollah mlikuwa kauli zenu kama hizi lakini sasa hivi mmeufyata mkia!!IRAN ndio kiboko yenu mlikimbia Jukwaa nyote kwenye ile promis no 2 Shubamit !!!
sasa mmerudi kwa kunyata tena mnadai Iran awana kitu!!!
mnawadunisha Wairan ohhh awana kitu sawa Anga lilikuwa la RED pale Telaviv shwain atujasikia tena mwanasayansi kauwawa Kigaid kumbe dawa yao ni kipondo tu !!!!!
Aloo mtake radhi huyu ni baba yako kwa umrihatuna nyege za kuleta habari humu kama wewe,
Tatizo unashindana na raia ππππKama ni hivyo basi makamanda watakuwa na kazi gani.? Umeambiwa hiyo ni rada Ina yorka sasa inaongozaje mapigano? Najua huna uzoefu wowote wa vita basi tupe hiyo link kudhibitisha kuwa Pentagon wamesema ndege yao imepigwa!!!
Hapa umesema kweli bora tu nijikite kuelimisha!!!Tatizo unashindana na raia ππππ
Walikimbia Afghanstan sio kukabidhi nchi macho atuna sisi!!!!Tumia vizuri akili yako!! Marekani huko Afghanstan walikuwa kama watawala mpaka wameweza kubadirishana marais wameisimamia nchi hiyo mpaka imekuwa stable na waliondoka huko si kwa kushindwa kwenye Medani ya vita la hasha kulikuwa na makubaliano ambayo yalifikiwa na ndiyo maana hata hizo zana za kivita waliachiwa kwa makubaliano wala si kwamba waliviteka kwenye mapigano. Magari,ndege viliachwa huko kwa sababu kwanza havina madhara hata wao hawawezi kuvitumia maana hakuna anayejua kuvitumia ukiondoa magari ambayo watayatumia kwa muda mfupi tu kisha yatakosa spares ambao hawawezi kuzipata popote isipokuwa marekani tu. Una pia ndege nyingi tu waliachiwa lakini hawawezi kuzitumia ipasavyo maana hakuna rubani atakayeweza kuzirusha na wakikurupuka zinaweza kuwaingiza matatani wao wenyewe kwa hiyo usifurahie sana hizo ndege zimeachwa kwa maksudi maalum. Kumbuka pia marekani wakati wanaondoka huko waliondoka na maelfu ya raia ambao sasa hivi wanaishi Marekani sasa hiyo kauli yako ya kuwa Wamekimbizwa chupi mkononi haina uhalisia!!!
Zamani huku Tanganyika tulikuwa tunawaita WASHIHIRI.Hawa wayemen ni viumbe wabishi na watata zaidi duniani, hawaukubali unyonge kabisaaa
Zamani huku Tanganyika tulikuwa tunawaita WASHIHIRI.Hawa wayemen ni viumbe wabishi na watata zaidi duniani, hawaukubali unyonge kabisaaa
Sasa Mbona ni droneView attachment 3288820soma headline hapa.
Wangeshazipopoa zinawapiga kila siku.Kwani fighter hazipopolewi?
Ni juzi tu Marekani na NATO wamekimbizwa chupi mkononi na Taliban huko Afghanistan na wakaacha zana zote za kivita
vifaru,ndege, magari ya deraya,