Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Ulicho weka ni nini sasa.hivi unafikiri tuliomo humu wote wajinga kama wewe? Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako hapo hakuna cha channel 12 ya Israel!!
Israel channel za TV majina yake ni namba,zipo' 1-12+, tafuta channel 12 israel
 
Walishawahi kuwekwa mtu kati na Saudi Arabia kwa kusaidiwa na Marekani lakini Hawa viumbe walikichafua mpk Saudia wakawaita wakae mezani wayajenge🤠🤠🤠....kwao vita ni sehemu ya maisha ya Kila siku
Nakumbuka walilipua visima vya mafuta huko Saudi
 
Ulicho weka ni nini sasa.hivi unafikiri tuliomo humu wote wajinga kama wewe? Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako hapo hakuna cha channel 12 ya Israel!!
Thibitisha kwamba habari ni ya uongo huu ubishi uishe.
 
Kwa ulichosema kwamba imepigwa Jana basi ni dhahiri hii ni taarifa ya uongo. Weka hata screenshot ya ulipotoka habari, maana kwa kwa hakika link hautaweza kuleta, Lete hata screenshot
 
Link hiyo

Kwa ulichosema kwamba imepigwa Jana basi ni dhahiri hii ni taarifa ya uongo. Weka hata screenshot ya ulipotoka habari, maana kwa kwa hakika link hautaweza kuleta, Lete hata screenshot
Nimeweka
 
Leta unazoona ni za ukweli.
 
Kama ni hivyo basi makamanda watakuwa na kazi gani.? Umeambiwa hiyo ni rada Ina yorka sasa inaongozaje mapigano? Najua huna uzoefu wowote wa vita basi tupe hiyo link kudhibitisha kuwa Pentagon wamesema ndege yao imepigwa!!!
Uanelewa maana ya Rada? Sasa Rada isipoongoza Mapambano kitu gani kitaongoza? Comment zako zinaji Contradict, ukiwa mtu wa copy na paste kufanya reasoning inakua ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…