Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,471
- 40,830
Hiyo ndiyo asili ya Nurdin Kishki.Hawa wayemen ni viumbe wabishi na watata zaidi duniani, hawaukubali unyonge kabisaaa
Iran ameamua kuhamia hapo baada ya Al Asad kuanguka...Lebanon nako kukawaka moto kufatia Nasrala kuzikwa na vifusi..... Ila Iran ni nguvu dhabiti katika technology...hofu kubwa kwa MaghrebHawa wayemen ni viumbe wabishi na watata zaidi duniani, hawaukubali unyonge kabisaaa
Iran ndio inayompa Trump presha maana zana za Tech ya hali ya juu wanazotumia Houth zinatoka IranIran ameamua kuhamia hapo baada ya Al Asad kuanguka...Lebanon nako kukawaka moto kufatia Nasrala kuzikwa na vifusi..... Ila Iran ni nguvu dhabiti katika technology...hofu kubwa kwa Maghreb
Hakika, wenyewe wanaziita domestic madeIran ndio inayompa Trump presha maana zana za Tech ya haki ya juu wanazotumia Houth zinatoka Iran
Iran akipigwa pale Kati patatulia , USA na Israel wanajua tatizo lilipo ...Wanacalculate risk tu basi wamvamie .Iran ndio inayompa Trump presha maana zana za Tech ya haki ya juu wanazotumia Houth zinatoka Iran
Mtu mwenyewe wewe? Ww, Bams, Malaria2 propaganda zenu zinajulikanaSerikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.
A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:
Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.
The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Habari hii inaonyesha wazi ni uongo kabisa maana Kijeshi ndege E-2 au EWACS haziongozi mapigano. Ndege ya AWACS (Airborne Warning and Control System), kama vile Boeing E-3 Sentry, ni ndege iliyorekebishwa iliyo na mfumo mkubwa wa rada ambao hutoa ufuatiliaji wa hali ya hewa yote, amri, udhibiti na mawasiliano kwa shughuli za kijeshi, kimsingi inafanya kazi kama "rada inayo duka". Kingine mtoa mada umesema msemaji wa Pentagon wamesema wamesemea wapi hebu tupe link walikosemea na sisi tuone!! Najua huna maana ni uongo. Nawashangaa sana ndugu zangu katika imani ni waongo kumpita hata Shetani mwenyewe. Mtoa mada wadanye wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!!Serikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.
A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:
Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.
The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Walishawahi kuwekwa mtu kati na Saudi Arabia kwa kusaidiwa na Marekani lakini Hawa viumbe walikichafua mpk Saudia wakawaita wakae mezani wayajenge🤠🤠🤠....kwao vita ni sehemu ya maisha ya Kila sikuHawa wayemen ni viumbe wabishi na watata zaidi duniani, hawaukubali unyonge kabisaaa
Kakwambia nani Iran uayatollah unarithiwa!?Iran akipigwa pale Kati patatulia , USA na Israel wanajua tatizo lilipo ...Wanacalculate risk tu basi wamvamie .
Ubaya wa Iran kwa wazungu ni mfumo wake ,hata wakimmaliza Ayatollah wa sasa mwanawe tayari alishapewa mikoba...Pale watatuki ushawishi wa demokrasia ili kuwavuruga na kuangusha utawala .
Hiyo E2 imegongwa jana,sema hatuna nyege za kuleta habari humu kama wewe,tena mimi niliisoma kwa myahudi, ndiyo maana unasikia trump kaanza uwongo wa houthi wanataka amani,na jana akashambulia 8 targets kwa hasiraHabari hii inaonyesha wazi ni uongo kabisa maana Kijeshi ndege E-2 au EWACS haziongozi mapigano. Ndege ya AWACS (Airborne Warning and Control System), kama vile Boeing E-3 Sentry, ni ndege iliyorekebishwa iliyo na mfumo mkubwa wa rada ambao hutoa ufuatiliaji wa hali ya hewa yote, amri, udhibiti na mawasiliano kwa shughuli za kijeshi, kimsingi inafanya kazi kama "rada inayo duka". Kingine mtoa mada umesema Māoris a wa Pentagon wamesema wamesemea wapi hebu tupe link walikosemea na sisi tuone!! Najua huna maana ni uongo. Nawashangaa sana ndugu zangu katika imani ni waongo kumpita hata Shetani mwenyewe. Mtoa mada wadanye wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!!
Mtafute Abood mbunge mwenye mabasi au Nurdin Kishki hawa ndio kwao hukoNitaftieni mwanamke kutoka Yemen nioe...
Acha umama wewe,hiyo ndege hubeba askari mpaka 15 humo ndani,umeambiwa inaongoza ile uss truman kwa rada na info, wamarekani waliokua kwenye hiyo ndege washang'ata dongoKama ni hivyo basi makamanda watakuwa na kazi gani.? Umeambiwa hiyo ni rada Ina yorka sasa inaongozaje mapigano? Najua huna uzoefu wowote wa vita basi tupe hiyo link kudhibitisha kuwa Pentagon wamesema ndege yao imepigwa!!!
Zama zq MAREKANI zilipedwa IRAN anamvua nguo moja moja kile kizee watu wanae amini ndio mkuu ktk Ulimwengu !!!!Serikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.
A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:
Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.
The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Ulicho weka ni nini sasa.hivi unafikiri tuliomo humu wote wajinga kama wewe? Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako hapo hakuna cha channel 12 ya Israel!!Acha umama wewe,hiyo ndege hubeba askari mpaka 15 humo ndani,umeambiwa inaongoza ile uss truman kwa rada na info, wamarekani waliokua kwenye hiyo ndege washang'ata dongo
Nakuongezea na hii,unaijua channel 12 ya israel!?