Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Kama ni kweli basi warusi vizuri
Alafu kupotea kwa ndege za Israel wewe umejuaje?
"Ama kweli Tanzania iliwai kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi dunian"
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kupotea kwa ndege za Israel wewe umejuaje?
"Ama kweli Tanzania iliwai kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi dunian"
IBM&M-Range its primitive and pure outdated military weapons,amini nakwambia,military base kwa sasa hazina mpango.Urusi kwa sasa ina uwezo mkubwa mara dufu ya USA.sababu wana silaha aina ya Weather control technology, yaani wanaweza sababisha mafuliko USA yooote,au hata Baridi kali ajabu Extensive polar vortex calamities,hata hali inayo onekana sasa Northern part States of USA ,wana haha hawajatulia wanahisi ni shambulizi toka Urusi na washirika wake.nchi zote za high latitudes ni Marekani tu ndo wameathirika vibaya mno.wanalia lia tu kuwa eti ni Global warming, kunyamazisha public eyes.hiyo moja pili Katrina episode iliwaathil vibaya mno.tatu iko hivi wa-Rusi wana supper arrow 54 interceptor weaponly,inafanya kazi hivi ukirusha Intercontinental Ballistic missile(IBM) yako kutoka USA.Hizi silaha zinaingilia.na kulifanya liende double milage kulingana na wanavyotaka liende yaana yaweza kuwa triple miles.na ujue hapo lina rutubishwa zaidi na mdhara yake yanaongezeka pia kule litakapo angukia,kwa maana hiyo USA itapigana au kulaumiwa na nchi kibao.wanauwezo hata wa kutegesha Israel ya leo.
Kitu kingine ambacho hamjui wamefanikiwa kutengeneza,ni Computerised HPX01 neutraliser watcher,Hii mkuu ni aina ya sayari kubwa kiasi cha kutua na kupaa kwa vifaa muhimu vya ulinzi na kijeshi iliyoko angani( forget about satelite) kazi yake ni kum-monitor adui anafanya nini ana nini,pia na atarusha nini na saa ngapi zana zake duni. yaani Usa akirusha medium range yake haipeleki Target panapotakiwa,ila itapoteza mwelekeo(ila wao Usa wataona imepotea angani wakati inakaribia kupiga) hii MR ita kwenda kwenye sayari hii,na pale halitalipuka wala kuleta madhara myeyote litabaki kama lilivyokuja na linapoozeshwa na kemikali maalum,pindi tu likivuka air zone fulafulani hivi nimesahau kidogo wajuvi wa mambo watatusaidia kwa hapo. na linarutubishwa upya kwa nembo ile ile ya Marekani kwa matumizi mapya,kwa maana hiyo watawapa faida sana Urusi.kwa mambo mengi wakiamua kupigana kwa style ya leo,Kremlin haitaguswa wala ukucha, sana wataendelea kunywa kahawa..na ndo maana mpaka sasa Washington wamenyamaza kimya kuhusu mashambulizi dhidi ya Israel.kutokea Syria.sababu wanaijua Super Military power ya Urusi kuwa iko barabara,.imebaki political propagandas tu.hata hizo maneno za Pompeo ni politics tu..na silaha nyingine kubwa anayo tumia M- Rusi ni kunyamaza kimyaa hali hiyo inamtisha sana Usa.pamoja na uwezo wake mkubwa alionao tena mambo yake si wazi saana kama Marekanianavyojitapa.lakini mjue kuwa kujitapa nako ni silaha kubwa.
Kama unapenda kuongalia current Military strategics History pamoja na T- web. Miezi miwili ilopita Kuna matukio mengi yalitokea katika vita inayoendelea Middle east baadhi ya matukio hayo ni ndege kumi za Israel Defence Force (IDF) Zilizoshambulia military Base ya Syria hazikurudi mpaka sasa,na hazikutimiza malengo ya mashambulizi..
Japo kwenye Coronna military satelite za Israel zilionyesha zimefanikiwa. zaidi kilicho washtua makamanda wa IDF ni kuwapata marubani wa ndege hizo ambao walionekana ghafla mpakani asubuhi na mapema,wametelekezwa tena ndani ya jeep za Israel ajabu sasa walikuwa hawaongei kitu, na kazi walikataa. wakapelekwa Hospital maarufu ya Beersheba Hospital inayoendeshwa na Mosad al-abelt, mpaka sasa ni hali tete.ila haya Usa hawasemi aibu tupu. na m-Rusi amenyaza kimyaa! na Netanyahu anaogopa zile zile ndege zake zikaja kumshambulia maana hajui zilipo,kwa muono wa technolojia ya m-RUSI,.
Sent using Jamii Forums mobile app