Marekani yaiwekea vikwazo vya kiuchumi Venezuela!

Marekani yaiwekea vikwazo vya kiuchumi Venezuela!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
2,987
Reaction score
3,451
Hiyo ni baada ya uchaguzi wa urais kumalizika amabapo Nicolas Maduro atakuwa Rais wa milele!
Marekani imezuia mali zote za Venezuela pamoja na Maduro zilizoko nchini humo na kupiga marufuku kabisa biashara kati ya raia wa marekani na venezuela!
Hiki liwe funzo kwa wale wanaoleta kampeni uchwara za Magufuli baki!
 
hapa tz hatujawekewa vikwazo hali ni hii

tukiwekewa vikwazo hata motoni tutaweza kuishi
 
Acha kujidanganya USA doesn't give a shit about Afrika, ingekuwa hivyo Museveni, Kagame, Do Santos & Co. wasingekuwepo!
 
Badilisheni katiba Magu abaki ndi mtajua!:

Nimeshakwambia USA hana mpango na Afrika, Museveni anaongeza umri wa kuongoza awe Raisi wa maisha, haya mambo ya kutegemea Mwanaume mwenzako aje akutatulie matatizo yako ndiyo Wake zenu wanawadharau na kuuza K zao nje, janaume zima umekaa hapa unabana pua eti USA ije TZ, kwa lipi? Pigana kivyako kwani nani alijenga USA? Unafikiri walibana pua kama wewe na kuanza kulia lia kuomba msaada kwa Wanaume wenzao?
 
Nineshakwambia USA hana mpango na Afrika, Museveni anaongeza umri wa kuongoza awe Raisi wa maisha, haya mambo ya kutegemea Mwanaume mwenzako aje akutatulie matatizo yako ndiyo Wake zenu wanawadharau na kuuza K nje, janaume zima umekaa hapa unabana pua eti USA ije TZ, kwa lipi?
Unadhani basi wana haja ya kuja?Wanaminya wakiwa huko huko!!!!
Jitoe ufahamu,muulize mugabe na nchi yake wanayopitia!Halafu huu ni utawala wa trump,aliahidi madikteta hayatapata ushirikiano wa nchi yake!
Sasa fanyeni kosa muone
 
Marekani anataka mafuta ya Venezuela.

Marekani walimuua Chavez , baada ya kuwabana wasichukue mafuta ya nchi yake.

Nchi yoyote ile , ambayo ni rahisi USA kuchukua Mali asili kwa urahisi anaweka hizo porojo zake za democracy, human rights , rules of laws.

Mfano, uchaguzi wa USA haukuwa wa huru na haki. Ila kamwambie basi kuwa uchaguzi wao haukuwa wa huru na haki utaona povu lake.

Pale, ufaransa /France wamefanya uchaguzi wa huru, haki, uwazi na haki za binadamu zimezingatiwa.

Kwa kifupi, dunia nzima USA ndiyo magaidi namba moja.

Hakuna cha kujifunza kutoka USA, labda tabia chafu za Obama na Cameron wa UK za kuingiliwa na kuhamasisha wanaume wapewe rukusa ya kuingiliana. Lakini, useme jambo, la haki za binadamu, hakuna USA.

Mfano, USA inawazui WAISLAM wasingie kwao sasa haki ipo wapi wanayoitangaza!?

USA is a Terrorist country.

Kwa hiyo, kama.Taifa (Tanzania) tunaouwezo wa kukataa huo ujinga na uchwara wa USA na bado tukaishi bila shida.
Tatizo, linakuja pale tunapolialia na kudhania kuwa bila USA au Europe hatuwezi. Ila tunaweza sana.
 
Unadhani basi wana haja ya kuja?Wanaminya wakiwa huko huko!!!!
Jitoe ufahamu,muulize mugabe na nchi yake wanayopitia!Halafu huu ni utawala wa trump,aliahidi madikteta hayatapata ushirikiano wa nchi yake!
Sasa fanyeni kosa muone

Sasa Mugabe ni Raisi au siyo Raisi wa Zimbabwe? Wewe fanya kazi, acha kulilia Mwanaume mwenzako akutatulie matatizo yako, utakuwa shoga, mashoga hawazaliwi bali matendo yao na udhaifu huwageuza mashoga!
 
hapa tz hatujawekewa vikwazo hali ni hii

tukiwekewa vikwazo hata motoni tutaweza kuishi
Of course motoni kuna uzima japo wa mateso. Motoni hakuna kufa. I hope ulimaanisha ule moto wa milele.
 
Marekani anataka mafuta ya Venezuela.

Marekani walimuua Chavez , baada ya kuwabana wasichukue mafuta ya nchi yake.

Nchi yoyote ile , ambayo ni rahisi USA kuchukua Mali asili kwa urahisi anaweka hizo porojo zake za democracy, human rights , rules of laws.

Mfano, uchaguzi wa USA haukuwa wa huru na haki. Ila kamwambie basi kuwa uchaguzi wao haukuwa wa huru na haki utaona povu lake.

Pale, ufaransa /France wamefanya uchaguzi wa huru, haki, uwazi na haki za binadamu zimezingatiwa.

Kwa kifupi, dunia nzima USA ndiyo magaidi namba moja.

Hakuna cha kujifunza kutoka USA, labda tabia chafu za Obama na Cameron wa UK za kuingiliwa na kuhamasisha wanaume wapewe rukusa ya kuingiliana. Lakini, useme jambo, la haki za binadamu, hakuna USA.

Mfano, USA inawazui WAISLAM wasingie kwao sasa haki ipo wapi wanayoitangaza!?

USA is a Terrorist country.

Kwa hiyo, kama.Taifa (Tanzania) tunaouwezo wa kukataa huo ujinga na uchwara wa USA na bado tukaishi bila shida.
But let's be objective guys. Hivi kweli kutoka ndani ya moyo wako unakubaliana kabisa na yaliyotokea kwenye uchaguzi wa Venezuela uliomweka Maduro madarakani? Kweli kabisa unakubali kwamba ulikuwa wa haki? Jamani, hebu pasipo haki tuwe wakweli badala ya visingizio visivyo na sababu.
 
Hiyo ni baada ya uchaguzi wa urais kumalizika amabapo Nicolas Maduro atakuwa Rais wa milele!
Marekani imezuia mali zote za Venezuela pamoja na Maduro zilizoko nchini humo na kupiga marufuku kabisa biashara kati ya raia wa marekani na venezuela!
Hiki liwe funzo kwa wale wanaoleta kampeni uchwara za Magufuli baki!
Nafikiri huelewi wala huna habari za Venezuela sawasawa. Vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo ni UKANDAMIZAJI wa Demokrasia, Kubadili katiba bila KUWAHUSISHA wananchi tofauti na mtangulizi wake Hugoz Chavez ambaye alikuwa MWANASIASA MJANJA.

CHAVEZ Kila alipotaka kubadili jambo ALIHUSISHA wananchi na BUNGE. Chavez HAKUFUNGA WAPINZANI wake bali aliwapa hata RUHUSA ya KUFANYA MAANDAMANO. Kwa njia hiyo Marekani HAWAKUMWELEWA sana.

WAKIMTAFUTA kuhusu KUKANDAMIZA upinzani wanamkuta HAPATIKANI. Na wakashangazwa kuwa anapendwa na WATU WAKE.

Huyu Rais MADULO AMEJILETEA MWENYEWE maana alikuwaga DEREVA wa MABASI, CHAVEZI akamwona ni mtu mzuri mhamasishaji akampenda na hata akapanda cheo mpaka MAKAMU wa RAIS.

TATIZO lake kubwa ni kuwa alikuwa SLOW LEARNER/MTU ASIYEJIFUNZA mambo kwa HARAKA na hakujifunza UJANJA wa HUGOZ chavez katika kuendesha mambo ya kisiasa na KIUTAWALA. MADULO anatumia NGUVU. CHAVES alitumia USHAWISHI.
Huoni tofauti kubwa?

Kwa sasa Tanzania HATUJAFIKIA hapo hata robo ya RAIS MADULO wa VENEZEUELA ambaye ANAONA nchi inaanguka Na HALEGEZI msimamo. Shauri yake.
Tz tuko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom