Rais wa Philippines Duertete amesema serikali ya Marekani kupitia magaidi wa Islamic State wamevamia jimbo la mindanao na kuuteka mji Mkuu wake Marawi. Vita katika mji huo mkuu umechukua wiki 3 na mpaka sasa majeshi ya Philippines yameshindwa kuwaondoa wapiganaji ISIS. Raia na wanajeshi wengi wamepoteza maisha yao.
Toka Rais Duertete aingie madarakani ameonyesha chuki kubwa kwa nchi za magharibi mpaka ilifikia hatua kumwita aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama mwanaharamu, uhusiano wa nchi hiyo na marekani umezorota sana kiasi ambacho Rais Duertete aliamuru majeshi ya Marekani kuondoka nchini humo. Hawa magaidi wa ISIS wanapigana huko Syria na Iraq kwa msaada wa serikali ya Marekani kupitia shirika lake la ujasusi CIA
Imebidi kwa Rais Duertete kuipigia magoti Marekani ili imsaidie vita hivyo. Kwa miaka mingi nchi ya Philippines ilikuwa na vita na kikundi cha kigaidi Abusayaf lakini haikuwa kutokea vita vikubwa kama zilizotokea wiki 3 zilizopita.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shindwa pepoKwenye tumbo LA shetani
Amwite sasa mchina wake aje kumsaidia.Duh! Hadi huyu jamaa kanyoosha mikono, basi huko kuna shughuli pevu
Marekani in maslahi gani phillipines?
kivipiChina
Kwani Philipines the so called ugaid ulianza leo?..Acheni kulishwa matango pori nd nyie mnaamini tu bila kutumia akili.Rais wa Philippines Duertete amesema serikali ya Marekani kupitia magaidi wa Islamic State wamevamia jimbo la mindanao na kuuteka mji Mkuu wake Marawi. Vita katika mji huo mkuu umechukua wiki 3 na mpaka sasa majeshi ya Philippines yameshindwa kuwaondoa wapiganaji ISIS. Raia na wanajeshi wengi wamepoteza maisha yao.
Toka Rais Duertete aingie madarakani ameonyesha chuki kubwa kwa nchi za magharibi mpaka ilifikia hatua kumwita aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama mwanaharamu, uhusiano wa nchi hiyo na marekani umezorota sana kiasi ambacho Rais Duertete aliamuru majeshi ya Marekani kuondoka nchini humo. Hawa magaidi wa ISIS wanapigana huko Syria na Iraq kwa msaada wa serikali ya Marekani kupitia shirika lake la ujasusi CIA
Imebidi kwa Rais Duertete kuipigia magoti Marekani ili imsaidie vita hivyo. Kwa miaka mingi nchi ya Philippines ilikuwa na vita na kikundi cha kigaidi Abusayaf lakini haikuwa kutokea vita vikubwa kama zilizotokea wiki 3 zilizopita.
Imetokea tanzaniaMkuu ccm inatokea wapi ,?
ISIS ni kikundi cha kigaidi kinachotumiwa na Marekani na kikundi hiki huwa hakuna ugomvi na Marekani.
Urusi ndio waliweza kukipiga kikundi hiki huko Syria mpaka nguvu ya kikundi hiki kikapungua.
Mwingine ataibuka.Siku US itakapoanguka ndiyo siku amani ya duniani itapatikana
Salute kwako mkuuKwasasa magaidi wamekuwa tools za nchi za magharibi katika kutetea maslahi yao. Nitakupa mfano Seif Islam aliyekuwa mtoto wa Ghadaffy aliachiwa na magaidi huko Libya baada ya kukaa jela miaka sita leo ICC badala ya kuwakamata walioanzisha vita vya Libya sasa wametangaza seif islam akamatwe apelekwee the Hague kushitakiwa. Rais Sisi wa Misri aliyepindua serikali ya kidemokrasia na kuua maelfu ya watu yuko huru.
Hiyo ndio sura 2 za nchi za magharibi.
Kwasasa magaidi wamekuwa tools za nchi za magharibi katika kutetea maslahi yao. Nitakupa mfano Seif Islam aliyekuwa mtoto wa Ghadaffy aliachiwa na magaidi huko Libya baada ya kukaa jela miaka sita leo ICC badala ya kuwakamata walioanzisha vita vya Libya sasa wametangaza seif islam akamatwe apelekwee the Hague kushitakiwa. Rais Sisi wa Misri aliyepindua serikali ya kidemokrasia na kuua maelfu ya watu yuko huru.
Hiyo ndio sura 2 za nchi za magharibi.
Leo urusi imesema imemuua kiongozi wa IS , Al baghdadISIS ni kikundi cha kigaidi kinachotumiwa na Marekani na kikundi hiki huwa hakuna ugomvi na Marekani.
Urusi ndio waliweza kukipiga kikundi hiki huko Syria mpaka nguvu ya kikundi hiki kikapungua.
Yaani ww unaijua vizuri Philippines kuliko duterte ? Acha porojo mkuu , kwani duterte ajui kwamba Philippines kuna abusayaf , lakini kwann kasema hao Ni IS (US)Huyu Raisi naye aache upumbavue. Athibitiehs namna gani America ametuma ISIS ufilipoini.
Ugaidi Filipino haujaanza leo. Miaka yote kule nyuma, Father Franco alitekwa na magaidi kule MIndanao na Magaidi hao walikuwa wakiingie kutokea Iran. Walikuwa wanaingie kisrisiri kutokea Iran kwa jina la kueneza dini ya kiislam hatimaye wakaanza vita. Mindanao ni sehemu haijawah kuwa na aman miaka yote.
Hoja kwamba eti vita hivi vimekuwa vikali kuliko zamani ndiyo sababu kuwa America atakuwa ametuma ISIS ni upumbavue. Mikaa yote hiyo kuan ugaidi na umekuw ukipanuka wanaona leo magaidi yamejiimarisha wanasema ni America??
Fundisho liko hinvi. Tanzania, mnayaona yanaofanyika Kibiti, ndivyo hata Mindanao ilianza. Mkizubaa na kuyaahca ama kukubali kwamba ni wapinzani wa ccm tu na siasa siasa, mtashangaa Al Sahab nzime inaingia kule na kuteka jiji la Dar ar Salaalm.
ACHINI SIASA KWENYE MASUALA YA MAUAJI YA KIDINI!.
Philippines Ni koloni la USMarekani ina maslahi gani phillipines?