Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

Aisee !!! Foolish is what foolish does..., sababu tunaendelea kugawa mali na kuingia mikataba ya ki-Mangungo hivyo hatujapata akili....

Kuna sababu gani au haraka gani ya kufuja kila asset;

Wenzetu kina nani na akili ya wapi ? Historically civillization haikunzia western; na empires zilizokuwepo then sasa hivi hazipo; USA waliopo sasa wametoke Europe na ni wahamiaji..., Developed countries nyingi za huko zimepiga hatua kwa marginalization ya nchi nyingine..... Necessity is the mother of Invention

Visipopata vitaendelea kusubiri; mimi nimekwambia tungekuwa na akili tungetumia hio gesi kama nishati hata kwenye magari tukaacha kuagiza kutoka nje; ila sababu tumeshikwa akili kwamba hatuwezi na ni dependent tutamaliza machimbo yote with nothing to show for it....;

Unadhani vizazi vilivyopita vingekuwa na tamaa kama kizazi hiki kuna chochote tungekikuta ? Mikataba yote iliyoingiwa mpaka dakika hii ni ya hovyo nadhani ukosefu wa akili ni kudhani hii itakuwa any different (ukizingatia hakuna transparency)
Unauliza “wenzetu kina nani na akili ya wapi”?

Eti “civilization haikuanzia west”

Unaniuliza kina nani, halafu hapo hapo unanisaidia kukujibu kuwa ni western!😀

Kwani wewe mwafrika umemzidi nani hapa duniani kwa chochote kile cha mendeleo na chenye akili?

Nasubiri unitajie. Na usijekusema vizazi vijavyo vitakuja kuwazidi.😀

Halafu unasema “tungekuwa na akili tuingeitumia kwenye magari”

Magari yapi? Hizo V8 au?
 
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari, Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za kuchelewa kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba kuna nchi mbalimbali hapa Duniani zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.

===

The United States this week warned Tanzania of a likely exodus of investors in its long-anticipated, multimillion-dollar liquified natural gas project if it continues to be bogged down by delays over negotiation technicalities.

US Deputy Assistant Secretary of State Joy Basu told The EastAfrican in Dar es Salaam this week that companies such as Exxon Mobil that have been pushing the deal with Tanzanian authorities had reached a point where they were now “willing to walk away.”

“There is LNG in lots of places around the world now, and for Tanzania the window for this particular investment is closing fast. Such windows do not remain open forever,” said Ms Basu whose portfolio in the Joe Biden administration includes overseeing economic and regional affairs in Sub-Saharan Africa.

She said the status of the project was a major agenda item in meetings that she held with Tanzanian government officials during her visit this past week to follow up on progress of a US-Tanzania commercial dialogue that was launched in October last year.

Exxon Mobil, based in Houston, Texas, is one of several multinational firms that have stakes in the LNG project in southern Tanzania whose estimated cost has risen from $30 billion initially in 2014 to $42 billion by last year.

Others are Britain’s Shell and Norway’s Equinor — which have been earmarked as joint main operators of the project — Exxon Mobil, Pavilion Energy (Singapore), Medco Energi (Indonesia) and the state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation as partners.

But there has been no official word on progress since March last year when Tanzania’s energy ministry said negotiations with the investors were complete, paving the way for drafting of a Host Government Agreement to be.

According to a Bloomberg news agency report this week, Shell and Equinor have said they are still hoping for the HGA, production sharing agreement and final investment decision to be signed soon so that they can start developing the project.

“We had hoped to see these agreements signed faster, but we remain ready to continue to work with the government on competitive and investable agreements, consistent with what we agreed last year,” the agency quoted a Shell spokesperson as saying.

However, it also quoted Tanzania’s Energy Minister Doto Biteko, who doubles up as Deputy Prime Minister, as saying the HGA was “still under negotiation.”

Ms Basu said she met with Tanzania’s ministers of works, transport and deputy minister of trade and industry along with officials from the Planning Commission, President’s office and the Tanzania Investment Centre.

“Regarding the LNG project I made it clear to them that it would be really unfortunate for Tanzania if these companies were forced to leave because of delays that are not in good faith and based on the right reasons,” she said.

She said there was a “very real risk” of investors becoming wary of a deal that was “still being renegotiated after so many years” and starting to wonder if they could “trust the government’s word when it comes to a multi-year negotiation. But more than that, I’m afraid of the signal it will give to other big investors who want to invest in Tanzanian foundational infrastructure if they can’t rely on the government keeping its side of the bargain,” she added.

The East African
Nimesoma kiingereza chote cha gazeti la citizen ila sijaona sehemu ikisema kuwa kuna mvutano wa direct investment ambayo Tanzania inataka ipewe au ipate mapato ya 35-40% na wazungu au wawekezaji wanataka kutoa 25-30%. Isijekuwa mtoa taarifa hana taarifa yoyote na anajaribu kutudanga.

Mfano: kwenye madini tunapata mrahaba wa 4-5% na 16% ya share, iweje Hii ya gas watoe 25-30% tukatae eti tunalazimisha 35-40%,?
Na mbona hyo sio kikwazo kilichoandikwa na gazeti Zaidi ya kusema ni delayment za kuandika mkataba?
 
Unauliza “wenzetu kina nani na akili ya wapi”?
Fuatilia Historia Wakati Europe (Ulaya) bado watu wanajisaidia kwenye Barabara Huko china watu walikuwa wana-practice agriculture, na kutumia night manure, printing press na kusafiri huku na huko....

Kwahio ni upeo mfupi kudhani kwamba akili ipo kwenye ngozi bali ni mazingira na necessity; western wamekuwa wakisafiri huko na huko na kufanya adaptation Britain kutokana na kwamba ni kisiwa ilibidi watafute mkate wao na kupata colonies apart from industrial revolution iliyoshika kasi huko kwao narudia tena civilization haikuanzia huko....;
Eti “civilization haikuanzia west”

Unaniuliza kina nani, halafu hapo hapo unanisaidia kukujibu kuwa ni western!😀
Civilizations first appeared in Mesopotamia (what is now Iraq) and later in Egypt. Civilizations thrived in the Indus Valley by about 2500 B.C.E., in China by about 1500 B.C.E. and in Central America (what is now Mexico) by about 1200 B.C.E.

Kwa ufupi tu wakati Europe wanatumia Roman Numerals kuna namba za maana zaidi na rahisi Indian numbers ambazo waarabu waliziona kutoka india na ndio maana sasa hivi tunaziita arabic numbers.....

Empires rise and fall Britain was once Great now its no More... Greece was once the envy of the world; makosa yanayofanyika leo ndio yana-cost watu wa kesho ila haimaanishi watu wataendelea kuwa hivyo katika sehemu husika (Necessity being the major Ingredient)
Kwani wewe mwafrika umemzidi nani hapa dunia kwa chochote kile cha mendeleo na akili?
Akili ni nini na maendeleo ni nini ?

Unataka labda muafrika angegundua Heater wakati mazingira yake ni full Air Condition; Hivi hujui kuna sehemu nyingi tu Afrika kulikuwa na mabaki ya kufua vyuma, pottery n.k. Kwamba kabla ya Wakoloni kuja na ku-disrupt communities za Afrika huku watu walikuwa hawaishi ? Unamjua Mansa Kankan Mussa one of the Richest man to ever lived na alikuwa anatoka wapi ?

Unajua kwamba hata katika ugunduzi wa Chanjo kuna Muafrika (a slave) who played a big part ?

Onesimus (late 1600s–1700s[1]) was an African man who was instrumental in the mitigation of the impact of a smallpox outbreak in Boston, Massachusetts. His birth name is unknown. He was enslaved and, in 1706, was given to the New England Puritan minister Cotton Mather, who renamed him. Onesimus introduced Mather to the principle and procedure of the variolation method of inoculation to prevent the disease, which laid the foundation for the development of vaccines.[2] After a smallpox outbreak began in Boston in 1721, Mather used this knowledge to advocate for inoculation in the population. This practice eventually spread to other colonies. In a 2016 Boston magazine survey, Onesimus was declared one of the "Best Bostonians of All Time".[1]
 
Mentality yako hata mimi nilikuwa nayo. I bet you’re too young. You will grow off of it like many of us.

Halafu upo Tanzania?
 
Huenda the growing off ndio maana we are where we are right now.....

“If you think you are beaten, you are
If you think you dare not, you don't,
If you like to win, but you think you can't
It is almost certain you won't.

If you think you'll lose, you're lost
For out of the world we find,
Success begins with a fellow's will
It's all in the state of mind.

If you think you are outclassed, you are
You've got to think high to rise,
You've got to be sure of yourself before
You can ever win a prize.

Life's battles don't always go
To the stronger or faster man,
But soon or late the man who wins
Is the man WHO THINKS HE CAN!”
― Walter D. Wintle​
 
😀haya
 
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari, Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za kuchelewa kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba kuna nchi mbalimbali hapa Duniani zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.

===

The United States this week warned Tanzania of a likely exodus of investors in its long-anticipated, multimillion-dollar liquified natural gas project if it continues to be bogged down by delays over negotiation technicalities.

US Deputy Assistant Secretary of State Joy Basu told The EastAfrican in Dar es Salaam this week that companies such as Exxon Mobil that have been pushing the deal with Tanzanian authorities had reached a point where they were now “willing to walk away.”

“There is LNG in lots of places around the world now, and for Tanzania the window for this particular investment is closing fast. Such windows do not remain open forever,” said Ms Basu whose portfolio in the Joe Biden administration includes overseeing economic and regional affairs in Sub-Saharan Africa.

She said the status of the project was a major agenda item in meetings that she held with Tanzanian government officials during her visit this past week to follow up on progress of a US-Tanzania commercial dialogue that was launched in October last year.

Exxon Mobil, based in Houston, Texas, is one of several multinational firms that have stakes in the LNG project in southern Tanzania whose estimated cost has risen from $30 billion initially in 2014 to $42 billion by last year.

Others are Britain’s Shell and Norway’s Equinor — which have been earmarked as joint main operators of the project — Exxon Mobil, Pavilion Energy (Singapore), Medco Energi (Indonesia) and the state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation as partners.

But there has been no official word on progress since March last year when Tanzania’s energy ministry said negotiations with the investors were complete, paving the way for drafting of a Host Government Agreement to be.

According to a Bloomberg news agency report this week, Shell and Equinor have said they are still hoping for the HGA, production sharing agreement and final investment decision to be signed soon so that they can start developing the project.

“We had hoped to see these agreements signed faster, but we remain ready to continue to work with the government on competitive and investable agreements, consistent with what we agreed last year,” the agency quoted a Shell spokesperson as saying.

However, it also quoted Tanzania’s Energy Minister Doto Biteko, who doubles up as Deputy Prime Minister, as saying the HGA was “still under negotiation.”

Ms Basu said she met with Tanzania’s ministers of works, transport and deputy minister of trade and industry along with officials from the Planning Commission, President’s office and the Tanzania Investment Centre.

“Regarding the LNG project I made it clear to them that it would be really unfortunate for Tanzania if these companies were forced to leave because of delays that are not in good faith and based on the right reasons,” she said.

She said there was a “very real risk” of investors becoming wary of a deal that was “still being renegotiated after so many years” and starting to wonder if they could “trust the government’s word when it comes to a multi-year negotiation. But more than that, I’m afraid of the signal it will give to other big investors who want to invest in Tanzanian foundational infrastructure if they can’t rely on the government keeping its side of the bargain,” she added.

The East African
UZoefu u aonyesha kuwa, ukiona mtanzania anapigia debe kitu ujue anafaidika yeye binafsi tena faida hiyo ni 0.0000001 ya thamani nzima ila kwakua ame exclude raia wa nchi nzima basi bila kujali hasara ya nchi yupo tayari kufanya lolote ilimradi hiyo deal I fanyike...

Hizi tabia za udalali Zina athiri sana maendeleo ya nchi na bara letu la Aftica
 
Wajitoe tu
 
Ndio hatuna Kwa sababu ukisema has ipo Kila sehemu hapa Duniani na hicho unachodai hakiwezekani kibiashara unless uwe na kampuni Yako mwenyewe ufanye kama wao
Kama gesi iko kila mahala duniani kwa nini wamesubiri miaka mitano wanatubembeleza sisi, kwa nini ????

Huoni labda wanakudanganya ? Labda gesi yako iko kina kifupi, au ni safi zaidi, au ni cheaper kuliko huko kwingine, au wanaona nchi ina amani tofauti na Capo Delgado Msumbiji ???? We hujiuilizi mwako vitu kama hivi ??? Mfanyabiashara anakusubiri wewe miaka mitano, hujiulizi ??????

Tunashindwa makesi ya uwekezaji kila uchwao , na wazungu wanajua, sasa kwa nini tukurupuke ili tuje tulipe mabilioni ya fani kwenye tribunal za usuluhishi ?????
 
Nchi ya akili ndogo hii. Kweli ni Waziri yupi amaweza kuwa ana akili kubwa. Tukizungumzia Bil.42 ni pesa ambayo mwenye akili angefanya kila kitu iingie, naama, hata kwa masharti mabovu!
 
Kampuni za kimarekani zipo hapa zinatuibia.

Hiyo misaada sio bure.

Ni lazima tuipokee, na mikopo watupe yaani ni lazima.

Ili tuendelee kuwa maskini.

Watudai , na tuuze bidhaa zetu kwa dola kwa bei wanayotaka wao.

Madeni hayatakaa yalipwe kamwe na umskini hautokaa uondoke.
Kweli Kabisa, Kwa watu waliofanya na NGOs Africa Kwa ujumla watakwambia hii misaada nikutupaka tu tope chafu, na wao kuwa na status yakuwa wanasudaidia. Reality hakuna tunachosaidika serious.
 
Kama gesi iko kila mahala duniani kwa nini wamesubiri miaka mitano wanatubembeleza sisi, kwa nini ????

Huoni labda wanakudanganya ? Labda gesi yako iko kina kifupi, au ni safi zaidi, au ni cheaper kuliko huko kwingine, au wanaona nchi ina amani tofauti na Capo Delgado Msumbiji ???? We hujiuilizi mwako vitu kama hivi ??? Mfanyabiashara anakusubiri wewe miaka mitano, hujiulizi ??????

Tunashindwa makesi ya uwekezaji kila uchwao , na wazungu wanajua, sasa kwa nini tukurupuke ili tuje tulipe mabilioni ya fani kwenye tribunal za usuluhishi ?????
Wanawabembeleza au Tzn ndio inawabembeleza wajenge plant?

Wamekuwepp Toka zamani hawakuwa na interest ya kujenga kiwanda Bali kuvuna na Kupeleka kuchakatwa kwenye viwanda Mozambique nk ila sio kujenga Kiwanda Tzn.

Mlivyokuwepo maskini jeuri mtaachwa solemba tuone kama Kuna kitu Cha maana mtapata

Hata gas ya umeme mnauziwa na wao , kampuni yenu jina hakuna wanachojua 😂😂
 
Ndio watawaacha kwani Tanzania Ina gas gani ya maana hapa Afrika? Tayari wameshajenga kiwanda kama hicho Mozambique tofauti ni gharama tuu na wanategemea kujenga zaidi ya 3.

Pili watawashitaki Kwa kuwapotezea mda huku wakiingiza gharama za engagements so mtalipa kama mnavyofanya kwenye kesi zingine ikiwemo mabehewa ya Sgr,Kwa sababu mna akili za funza mnaona hapo tuu.

Mwisho Dunia inaenda Kasi Kwa teknolojia,Kwa Sasa Mafuta hayana Dili sana kama Zamani na hivyo hivyo kwenye gas na new discoveries zinavyokngezeka ndivyo value inashuka so ukisema inasubiria sijui nini utakuja kupata less than what you would get right now.

Kuliko kuwapa kwa faida ndogo ni bora tuache hayo magesi ardhini.
 
Nchi ya akili ndogo hii. Kweli ni Waziri yupi amaweza kuwa ana akili kubwa. Tukizungumzia Bil.42 ni pesa ambayo mwenye akili angefanya kila kitu iingie, naama, hata kwa masharti mabovu!
Pole sana aisee una uhakika na hiyo garama husika?
 
Back
Top Bottom