Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

Kwa comments hizi kweli tutaendelea kuwa majuha tu
Umasikini wa akili mbaya sana
Hizo % ni sawa kabisa kwa binadamu asiejuwa hata kutengeneza kitu na kuuza nje
Tena sio kutengeneza hata vinavyoota ardhini anashindwa kusafirisha nje badala yake anasubiri wakenya na South Africa waje kununua na kupeleka Ulaya na M'east
Maneno mengi akili zero
Wapeni wachimbe nyie machimbo ni mabwawa tu ya samaki ndio mnajua
 
Tupe hiyo hasara hapa
Nimeeleza hapo Juu kwamba teknolojia inabadilika so demand ya kitu itashuka.

Pili Nchi zinazidi kugundua gas na vyanzo vingine so demand itashukakwa sababu ya supply kubwa na alternatives

Tatu Kusubiria kitu bila kuingia kwenye game ndio ujifunxie huko ni hasara inamaana hakuna siku Utajua.

Mwisho ndege 1 aliyepo kwenye Banda ni Bora kuliko unaowaona wanazagaa msituni,usiteme bigijii Kwa karanga za kuonjeshwa.Namaanisha kwamba unachokiona kidogo Sasa kitakusukuka.kujiimarisha zaidi na kukukengea uwezo kuliko kusubiria ndoto za alinacha.

Mifano Iko kwenye Mafuta,makaa ya mawe nk kwamba demand yake Kwa Sasa Iko chini kuliko miaka Ile inagunduliwa.kwa.sababu mbalimbali
 
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari, Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za kuchelewa kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba kuna nchi mbalimbali hapa Duniani zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.

===

The United States this week warned Tanzania of a likely exodus of investors in its long-anticipated, multimillion-dollar liquified natural gas project if it continues to be bogged down by delays over negotiation technicalities.

US Deputy Assistant Secretary of State Joy Basu told The EastAfrican in Dar es Salaam this week that companies such as Exxon Mobil that have been pushing the deal with Tanzanian authorities had reached a point where they were now “willing to walk away.”

“There is LNG in lots of places around the world now, and for Tanzania the window for this particular investment is closing fast. Such windows do not remain open forever,” said Ms Basu whose portfolio in the Joe Biden administration includes overseeing economic and regional affairs in Sub-Saharan Africa.

She said the status of the project was a major agenda item in meetings that she held with Tanzanian government officials during her visit this past week to follow up on progress of a US-Tanzania commercial dialogue that was launched in October last year.

Exxon Mobil, based in Houston, Texas, is one of several multinational firms that have stakes in the LNG project in southern Tanzania whose estimated cost has risen from $30 billion initially in 2014 to $42 billion by last year.

Others are Britain’s Shell and Norway’s Equinor — which have been earmarked as joint main operators of the project — Exxon Mobil, Pavilion Energy (Singapore), Medco Energi (Indonesia) and the state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation as partners.

But there has been no official word on progress since March last year when Tanzania’s energy ministry said negotiations with the investors were complete, paving the way for drafting of a Host Government Agreement to be.

According to a Bloomberg news agency report this week, Shell and Equinor have said they are still hoping for the HGA, production sharing agreement and final investment decision to be signed soon so that they can start developing the project.

“We had hoped to see these agreements signed faster, but we remain ready to continue to work with the government on competitive and investable agreements, consistent with what we agreed last year,” the agency quoted a Shell spokesperson as saying.

However, it also quoted Tanzania’s Energy Minister Doto Biteko, who doubles up as Deputy Prime Minister, as saying the HGA was “still under negotiation.”

Ms Basu said she met with Tanzania’s ministers of works, transport and deputy minister of trade and industry along with officials from the Planning Commission, President’s office and the Tanzania Investment Centre.

“Regarding the LNG project I made it clear to them that it would be really unfortunate for Tanzania if these companies were forced to leave because of delays that are not in good faith and based on the right reasons,” she said.

She said there was a “very real risk” of investors becoming wary of a deal that was “still being renegotiated after so many years” and starting to wonder if they could “trust the government’s word when it comes to a multi-year negotiation. But more than that, I’m afraid of the signal it will give to other big investors who want to invest in Tanzanian foundational infrastructure if they can’t rely on the government keeping its side of the bargain,” she added.

The East African
Mwenye mali ghafi ni mimi yeye ana mitambo.Kwa nini isiwe 50 kwa 50? Huyu mwekezaji recovering period ya uwekezaji ni miaka mingapi? Au iwe hiyo 30 baada ya recovery period iwe 50 kwa 50. Maoni yangu.
 
Hapo sasa ndipo uone Serikali zinavyokuwa wasemaji wa makampuni yao makubwa ambayo kwa hakika ndiyo yenye usemi. Timing ya pressure yao kwa serikali yetu nayo ni jambo muhimu la kuzingatia. Ndiyo maana kuna pressure pia ya kuondoa zile sheria zilizopitishwa na Bunge kulinda maliasili za Tanzania. Kwa hivi sasa hatuna mtu anayeweza kutoka Serikalini akaeleza kinachogomba ni nini? Link ya bei za gas na ile ya mafuta bado ipo kwenye negotiations?
 
Mwenye mali ghafi ni mimi yeye ana mitambo.Kwa nini isiwe 50 kwa 50? Huyu mwekezaji recovering period ya uwekezaji ni miaka mingapi? Au iwe hiyo 30 baada ya recovery period iwe 50 kwa 50. Maoni yangu.
Unajitoa ufahamu sio?
Aliyegundua hiyo unayoita Mali ghafi ni nani?
Aliyewekeza teknolojia hapo ni wewe?
Aliyewekeza pesa hapo ni wewe?
Anaejua soko lipo na risks zake ni wewe?

Anaweza akaacha kwani Mali unayo wewe tuu? Yaani akufanyie yote hayo wewe umeegesha tuu?
 
Nimeeleza hapo Juu kwamba teknolojia inabadilika so demand ya kitu itashuka.

Pili Nchi zinazidi kugundua gas na vyanzo vingine so demand itashukakwa sababu ya supply kubwa na alternatives

Tatu Kusubiria kitu bila kuingia kwenye game ndio ujifunxie huko ni hasara inamaana hakuna siku Utajua.

Mwisho ndege 1 aliyepo kwenye Banda ni Bora kuliko unaowaona wanazagaa msituni,usiteme bigijii Kwa karanga za kuonjeshwa.Namaanisha kwamba unachokiona kidogo Sasa kitakusukuka.kujiimarisha zaidi na kukukengea uwezo kuliko kusubiria ndoto za alinacha.

Mifano Iko kwenye Mafuta,makaa ya mawe nk kwamba demand yake Kwa Sasa Iko chini kuliko miaka Ile inagunduliwa.kwa.sababu mbalimbali
Basi kwa kuwa uneamua kuwa KUWADI ni vyema ukawahauri waondoke tu
 
Haraka ya nini?Gas itaoza ikiachwa?

Utajiri wa deposit husika ni Mtaji toshaa kabisa kupata more than 50% ya benefits..Tujitambue..Tujithamini na tuthamini baraka na neema ya rasilimali..

Tujifunze toka Norway,Sweden,Danmark etc..Rasilimali zikisimamiwa vema ni utajiri Kwa kila mwananchi aliepo na ajaye..

Haraka Haraka hazina baraka..Wenye kiherehere ni vibaraka wa ufisadi na unyonyaji mamboleo…

Tumepigwa madini na kuachiwa mashimo

Tumepigwa kila mahali..100 years from now nchi itakuwepo..Tuna vizazi vitakuja..Yasiowezekana leo yatawezekana kesho..Subira yavuta heri
 
Kama serikali inakomaa kwa manufaa ya taifa sioni shida,shida ni pale wanapokomaa ili wategeshe mirija yao watafune fedha za serikali..
 
Kwa uelewa wako kwani lazima huo mradi ufanyike kwa jinsi unavyotaka wewe ?

Siyo ninavyotaka mimi bali kama tunataka uwekezaji kwenye sekta ya gas, basi lazima twende na kanuni za uwekezaji kwenye industry hiyo. Utambue, kwa kawaida huwa inafanyika namna gani. Ujifunze wenzako wanafanyaje.

Kama hutaki kuendana na uhalisia wa kanuni za biashara kwenye industry, kaa na gas yako, usihangaike kuwatafuta wawekezaji. Hakuna mwekezaji ambaye huwa analazimisha kwenda kuwekeza mahali popote Duniani. Ukiweza fanya kama Iran, visima vyote ni vya Serikali. Uzalishaji wake, na tekinolojia ni duni, huku wananchi wengi wakiishi kwenye umaskini, lakini Serikali ina pesa ya kutosha. Namna nyingine tunakuwa na Taifa la matapeli. Kwanza kabla ya hao wazungu, hatukuwa hata tunajua kama tuna gas. Wametumia pesa yao kugundua, halafu wanataka kuongia kwenye development, unabadilisha mikataba ya awali, huo si utapeli?
 
Kwa hiyo wewe unataka nini haswa ?

Twende kwenye uhalisia wa biashara. Sisi siyo wa kwanza kuwa na gas. Wenzetu wanafanyaje? Mikataba yetu ya awali ilikuwaje? Hatuwezi kuwa Taifa kigeugeu kila siku.

Kuna mataifa 99 yenye gas Duniani, tunashindwa hata ku-copy tu toka kwa wengine ili tuwe competitive kwenye mazingira ya uwekezaji kwenye gas?
 
Siyo ninavyotaka mimi bali kama tunataka uwekezaji kwenye sekta ya gas, basi lazima twende na kanuni za uwekezaji kwenye industry hiyo. Utambue, kwa kawaida huwa inafanyika namna gani. Ujifunze wenzako wanafanyaje.

Kama hutaki kuendana na uhalisia wa kanuni za biashara kwenye industry, kaa na gas yako, usihangaike kuwatafuta wawekezaji. Hakuna mwekezaji ambaye huwa analazimisha kwenda kuwekeza mahali popote Duniani. Ukiweza fanya kama Iran, visima vyote ni vya Serikali. Uzalishaji wake, na tekinolojia ni duni, huku wananchi wengi wakiishi kwenye umaskini, lakini Serikali ina pesa ya kutosha. Namna nyingine tunakuwa na Taifa la matapeli. Kwanza kabla ya hao wazungu, hatukuwa hata tunajua kama tuna gas. Wametumia pesa yao kugundua, halafu wanataka kuongia kwenye development, unabadilisha mikataba ya awali, huo si utapeli?
Nadhani unamjibu mtu amabe yupo kwemye industry zaidi ya miongo mitatu ,naomba tu ukae kimya ,sio kwamba nashindwa kujibu hoja zako, bali nasikitika kuwa taifa bado lina watu wa aina yako.
 
Wewe utakua ni mmoja wa hao wawekezaji. Tumekua tukiyapigia makelele kwa muda mrefu haya maswala ya mikataba isiyo nufaisha watanzania wewe ndugu unarudi mlemle yaani tuingie mkataba mbovu ili watupe ajira (ni wangapi wameajiriwa tangu hiyo gesi imeanza kuzalishwa huko mtwara?).

Yaani tuingie mkataba mbovu ili watujengee hospitali, miundo mbinu ya maji na barabara? Huko siko mkuu. Bora waondoke tu. Tunataka kuwa matajiri.

Graduates wenyewe wa mafuta na gesi mpaka leo hawana ajira japo kuna makampuni yanazalisha gesi Mtwara. We need cash to become rich.
Upuuzi
 
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani zaidi ya Shilingi Trilioni 105.

Akinukuliwa na vyombo vya habari, Mwandiplomasioa huyo amesema ushirika wa wawekezaji ukiongizwa na kampuni ya kimarekani ya Exxon Mobil ambayo imekuwa ikihimiza kuanza haraka kwa mradi huo imefikia mwisho wa subira na kwamba Tanzania inaweza kukosa mradi huo kutokana na sababu za kuchelewa kwa makubaliano ambako kunaletwa na Tanzania na kwamba kuna nchi mbalimbali hapa Duniani zenye gas zaidi ya Tanzania hivyo wanaweza kuhamishia uwekezaji kwingineko.

Maoni Yangu.
Binafsi naishangaa Serikali ya Tanzania na nitasikitika endapo Nchi itakosa mradi mkubwa kama huu kuzidi wowote hapa Duniani kisa tuu Labda tunalazimisha uwiano wa faida za kimapato karibu sawa na Wawekezaji kitu ambacho hakipo popote Duniani.

Yaa Unawezaje kulazimisha upate faida za kimapato(Direct revenues zinazotokana na production sharing benefits) za kati ya 35-40% wakati Wewe mwenye Mali hujaweka mtaji, teknolojia Wala huna soko?

Kwa nini Serikali Isikubali offer ya mapato kati ya 25-30% kama wawekezaji wako tayari kutoa ikizingatiwa wao ndio risk taker kuanzia utafutaji Hadi sokoni? Nani akupe zaidi ya hapo wakati hakuna kitu Cha maana umeweka?

Watu Wetu huko kwenye timu ya majadiliano sijui wanachukulia swala la economic benefits Kwa mtizamo upi wakati Nchi ikikubali hiyo offer tunaweza kujipanga Kwa faida za mnyororo wa Thamani wa Mradi husika kama Ajira,ku supply umeme,maji na construction materials zingine mfano saruji na nondo? On top of that Kuna forex,CSR, Miundombinu itayojengwa ,food supply nk?

Unadhani Uganda angekomalia hayo masharti Total na Washirika wake wangetoa pesa za kujenga bomba refu Duniani wakati vimafuta havizisi hata miaka 20?

Mozambique,Guinea na Zimbabwe wangekomalia vimasharti vya kipuuzi wangepata wawekezaji wa matrilioni kwenye migodi ya Chuma?

Masharti ya Kijinga yamesababisha wawekezaji kukimbia Liganga-Mchuchuma,Magadi Soda Engaruka,Neobium Mbeya na Sasa watakimbia kwenye LNG Lindi Ili tubakie na hadithi za Wanasiasa Hadi tunazeeka hakuna Cha maana tunaambulia.

Mwisho Tanzania inatakiwa kuelewa kwamba Uwekezaji ni ushindani hapa Duniani na hakuna kitu Cha spesho tunacho hakipatikani kwingineko so hakuna mtu wankukubembeleza Bali Nchi ndio inatakiwa kuwabembeleza hao Wawekezaji.

My Take
Nachelea kusema Mh.Rais shituka hapa Kuna Dalili ya hujuma inafanywa Kwa makusudi kuchelesha Kwa kuweka masharti ya kijinga Ili ushindwe kuacha alama kubwa Kwa sababu wale wengine walioshindwa.

===

The United States this week warned Tanzania of a likely exodus of investors in its long-anticipated, multimillion-dollar liquified natural gas project if it continues to be bogged down by delays over negotiation technicalities.

US Deputy Assistant Secretary of State Joy Basu told The EastAfrican in Dar es Salaam this week that companies such as Exxon Mobil that have been pushing the deal with Tanzanian authorities had reached a point where they were now “willing to walk away.”

“There is LNG in lots of places around the world now, and for Tanzania the window for this particular investment is closing fast. Such windows do not remain open forever,” said Ms Basu whose portfolio in the Joe Biden administration includes overseeing economic and regional affairs in Sub-Saharan Africa.

She said the status of the project was a major agenda item in meetings that she held with Tanzanian government officials during her visit this past week to follow up on progress of a US-Tanzania commercial dialogue that was launched in October last year.

Exxon Mobil, based in Houston, Texas, is one of several multinational firms that have stakes in the LNG project in southern Tanzania whose estimated cost has risen from $30 billion initially in 2014 to $42 billion by last year.

Others are Britain’s Shell and Norway’s Equinor — which have been earmarked as joint main operators of the project — Exxon Mobil, Pavilion Energy (Singapore), Medco Energi (Indonesia) and the state-owned Tanzania Petroleum Development Corporation as partners.

But there has been no official word on progress since March last year when Tanzania’s energy ministry said negotiations with the investors were complete, paving the way for drafting of a Host Government Agreement to be.

According to a Bloomberg news agency report this week, Shell and Equinor have said they are still hoping for the HGA, production sharing agreement and final investment decision to be signed soon so that they can start developing the project.

“We had hoped to see these agreements signed faster, but we remain ready to continue to work with the government on competitive and investable agreements, consistent with what we agreed last year,” the agency quoted a Shell spokesperson as saying.

However, it also quoted Tanzania’s Energy Minister Doto Biteko, who doubles up as Deputy Prime Minister, as saying the HGA was “still under negotiation.”

Ms Basu said she met with Tanzania’s ministers of works, transport and deputy minister of trade and industry along with officials from the Planning Commission, President’s office and the Tanzania Investment Centre.

“Regarding the LNG project I made it clear to them that it would be really unfortunate for Tanzania if these companies were forced to leave because of delays that are not in good faith and based on the right reasons,” she said.

She said there was a “very real risk” of investors becoming wary of a deal that was “still being renegotiated after so many years” and starting to wonder if they could “trust the government’s word when it comes to a multi-year negotiation. But more than that, I’m afraid of the signal it will give to other big investors who want to invest in Tanzanian foundational infrastructure if they can’t rely on the government keeping its side of the bargain,” she added.

The East African
Hakuna mradi mzuri na wamarekani

Wale sio kabisa

We better find another partner
 
Back
Top Bottom