Marekani yaishauri CCM itafute mwafaka na CUF Zanzibar

Marekani yaishauri CCM itafute mwafaka na CUF Zanzibar

Serikali ya Marekani imeishauri CCM kukaa mezani na chama cha CUF ili kumaliza mzozo wa Kisiasa uliotokana na UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER 25 , 2015 .

Hayo yamesemwa na GREGORY SIMPKIMS , ofisa wa Masuala ya sera za kijamii na kisiasa katika ukanda wa nchi za kiafrica zilizo kusini mwa jangwa la sahara , alipoongoza ujumbe wa watu watatu kukutana na Naibu katibu mkuu wa ccm , Abdalla Juma ofisini kwake Kisiwandui .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake - Hili suala la Dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar si la kitoto kama tunavyodanganywa .
Itakuwa hawajamjua dereva wa lorry . Hawajui kuwa huwa hapangiwi Nani awe Nani Na muda gani awe wapi.
 
Kama upo kwa PC yako nenda basi hata kwenye milard ayo magazeti ya leo tarehe 14, utaikuta hiyo habari.

Haki ya mtu haipotei bali inaweza kucheleweshwa.

Uchaguzi wa Zanzibar wa mwaka 2015 dunia nzima inajua kuwa Maalim Seif alimshinda Dr She in.

Ila CCM kwa kumtumia 'kada'wao Jecha akaamua 'kuyapindua' matokeo yale.

Mradi hiyo kauli imetoka kwa kiranja wa dunia Marekani, hapo sasa itabidi CCM 'waufyate' au wajifanye kiburi, halafu nchi tukione cha moto kutokana na kibano cha vikwazo vya uchumi tutakavyowekewa na mataifa ya magharibi.

Ivi kama akijulishwa trump officially Juu ya haya yaliyojiri zanzibar hawezi kuja kuuondoa huu utawala ambao hauna baraka za wanzazibar Bali baraka za jecha??
Nadhani inawezekana maana utawala wa Syria pia wa northern Korea unaanza kulihisi joto LA Mr. Trump
 
Hivi hushangai pamoja na kejeli zoooote lakini Maalim anaamini ataapishwa !
 
Hivi hushangai pamoja na kejeli zoooote lakini Maalim anaamini ataapishwa !

Ni kweli kabisa mkuu. Hapo kuna kitu hidden ambacho wengi hatukijui.
Nadhani CUF wafanye official communication na trump waeleze yote yalonafsini mwao ambacho najua CCM wanaogopa ilo lisitokee.
Mf. Alichokifanya Syria wengi wasichulie km kawaida kwan iyo ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi lkn tumeona limefanyika.

Uyu jamaa .... Trump hana unafiki km wa kina jin ping wa China anayejali urafiki na CCM kama kitu pekee cha kumpa assuarance ya permanent interest zake na si utu.
 
hao wamarekani na mimi nawashauri wakae mezani na maadui zao kama korea kasikazini na rais wa syria pamoja na isis walishakaa nao mezani ndio waje waishauri ccm kukaa mezani na cuf
 
Huo mgogoro wa kisiasa wanaumalizaje hata wakikaa meza moja? Maalim Seif apewe uRais waee au uVP? Uchaguzi urudiwe?

Hii kitu ngumu sana. Hakuna litakalofanyika until 2020.
 
Huo mgogoro wa kisiasa wanaumalizaje hata wakikaa meza moja? Maalim Seif apewe uRais waee au uVP? Uchaguzi urudiwe?

Hii kitu ngumu sana. Hakuna litakalofanyika until 2020.
Ni Maalim kurejeshewa ushindi wake tu , bajeti iliyopita imetekelezwa kwa 34% , je hii ya sasa itavuka 20% ?
 
MUAFAKA NA CUF IPI? YA WANYAMWEZI AU YA WAPEMBA?
 
wewe kilaza ICJ-uholazi ilikuwa ni mashitaka ya uhalifu wa kibinadamu unaofanywa na mazombi kule zanzibar .na sio uchaguzi .na bado uchunguzi unaendemea na baadhi ya waathirika washaenda uholanzi .ripoti yake itatolewa ikikamilika .na ku awatu watHitajika humo
 
Serikali ya Marekani imeishauri CCM kukaa mezani na chama cha CUF ili kumaliza mzozo wa Kisiasa uliotokana na UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER 25 , 2015 .

Hayo yamesemwa na GREGORY SIMPKIMS , ofisa wa Masuala ya sera za kijamii na kisiasa katika ukanda wa nchi za kiafrica zilizo kusini mwa jangwa la sahara , alipoongoza ujumbe wa watu watatu kukutana na Naibu katibu mkuu wa ccm , Abdalla Juma ofisini kwake Kisiwandui .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake - Hili suala la Dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar si la kitoto kama tunavyodanganywa .

Kwanza wakatafute muafaka huko kwao Marekani kati ya Democrat na Republican, maana inaaminika Trump kashinda kwa ujanja wa Urusi. Wakipatana na wakaacha figisu zinazoendelea kwao ndiyo waje kutoa ushauri huo kisha uchambuliwe kuona una maana au la.
 
wewe kilaza ICJ-uholazi ilikuwa ni mashitaka ya uhalifu wa kibinadamu unaofanywa na mazombi kule zanzibar .na sio uchaguzi .na bado uchunguzi unaendemea na baadhi ya waathirika washaenda uholanzi .ripoti yake itatolewa ikikamilika .na ku awatu watHitajika humo
Wala si mbali sana .
 
CCM ifanye muafaka na CUF ipi??? Ya Prof. Lipumba au Maalim Seif?
CUF ya Maalim Seif ndio inamashaka na uchaguzi uliofutwa lkn CUF ya Prof. Lipumba haina mashaka na uchaguzi. Kwa mujibu wa mazungumzo yalioshauriwa itakua yanahusu upande wa CUF ya Maalim Seif. Ila CCM wanaweza kumuingiza Prof. Lipumba ili kumpa kik kidogo alafu anapotezewa.
 
Back
Top Bottom