Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,942
- 244,529
Serikali ya Marekani imeishauri CCM kukaa mezani na chama cha CUF ili kumaliza mzozo wa Kisiasa uliotokana na UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER 25 , 2015 .
Hayo yamesemwa na GREGORY SIMPKIMS , ofisa wa Masuala ya sera za kijamii na kisiasa katika ukanda wa nchi za kiafrica zilizo kusini mwa jangwa la sahara , alipoongoza ujumbe wa watu watatu kukutana na Naibu katibu mkuu wa ccm , Abdalla Juma ofisini kwake Kisiwandui .
Chanzo - Mwananchi .
Mytake - Hili suala la Dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar si la kitoto kama tunavyodanganywa .