Marekani yafunga ubalozi wake mjini bujumbura

Marekani yafunga ubalozi wake mjini bujumbura

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,767
Kutokana na hali ya sintofaham inayoendelea nchini burundi taarifa kutoka mamlaka za ndani nchini marekani zinasema zinafunga ubalozi wake uliopo bujumbura nchini burundi
 
Wafunge tu nchi haieleweki rais anaongea utadhani mwenyekiti wa kijiji.
 
America maintains permanent interest abroad for its countrys' sake and not otherwise.
 
Ukiona hivyo basi na wewe kama Raia ondoka kwa muda huko Burundi
 
Kutokana na hali ya sintofaham inayoendelea nchini burundi taarifa kutoka mamlaka za ndani nchini marekani zinasema zinafunga ubalozi wake uliopo bujumbura nchini burundi

Wazushi tu hao. Sasa kama wanaondoka ndo iweje?
 
Back
Top Bottom