Marekani yafanya ukaguzi dhidi ya wahamiaji

Marekani yafanya ukaguzi dhidi ya wahamiaji

Hio ilikua Us kitambo sana, ila Us ya sasa ni majanga, kwanza saivi inaona ngozi nyeusi kutoka Africa ni nyani tu
😀 😀 😀 😀 😀 ,Aisee huna hata unachokijua,mapropaganda ya kiliberali yamekujaa hadi kisogoni.Marekani ya sasa ubaguzi is almost 0,kinachowasumbua watu kama nyie ni kutojiamini na chuki za kijinga jinga.
 
Ndio namsapoti mchina na Mrusi kwa sababu Us IMEUWA mamilioni ya watu, Us ina damu za watu mikononi mwake, bila ya Us hii Dunia tungelikua na Amani sana, Us ndio chanzo cha MAJANGA kama ukimwi duniani, Us ndio anaesaport ushoga duniani, Us ndie mfadhili mkubwa wa magaidi duniani, alaf unataka nimsaport Us??
kumbe.weewe ni wale wajinga wachache tulionao sasa unalalama ninibtokeni nchi za watu uneshindwa kuiendeleza tz unasupport mchina na mrusi si n ujinga kiwango cha lami ambao wote hawo wana roho mbay tu kwako kaoe mchina na ukaishi nae kwao kama wewe unamsaport
 
Kukamata wahamiaji ni miongoni mwa ubaguzi especially nchi kama Marekani, wahamiaji kuna aina 2, wahamiaji haramu na wasiokua haram, wasiokua haram ni kama vile wakimbizi, sasa apo wanaosema wanakamata wahamiaji haram usidhanie kuwa wote ni haram tu kama wanavyosema, duniani hakuna mkimbizi haram, ila hapo hio sheria utashangaa itawakuta mpaka wakimbizi especially waafrika coz they don't give fack about waafrica.
ni ujinga unaotetea si lolote ww ndio wanoona mlango alafu unasema sio mlango
 
Nchi zoote za ulaya wakimbizi wanaingia bila ya documents na wengine baada ya miaka 3 au mi5 wanakua wanapata visa za kuishi zinagowapelekea baadae kupata haki za kuwa Raia, kupata Uraia ni prosses na sio ukifika tu unapewa, labda wachache sana ambao wanajulikana kama wako hatarini sana kutoka walikotoka
Nitajie nchi moja dunia hii ambayo unaweza ingia free bila kuwa documented na ukawa raia wa kawaida?...
 
Ukweli mchungu eee
😀 😀 😀 😀 😀 ,Aisee huna hata unachokijua,mapropaganda ya kiliberali yamekujaa hadi kisogoni.Marekani ya sasa ubaguzi is almost 0,kinachowasumbua watu kama nyie ni kutojiamini na chuki za kijinga jinga.
 
Endelea na matusi, ila ukweli ndio huo, Us inakuona ww nyani, Us haikupi misaada labda usaport Ushoga [emoji23][emoji23][emoji28], ww hapo ulipo 99% unavyotumia ni vyakichina, bila ya mchina serikali yako ingelizidi umaskini, Africa yoote inamtegemea mchina, ww mmatumbi eti na ww unampinga mchina [emoji23], Us labda kawaleteeni biblia na ukimwi tu hana chengine
kumbe.weewe ni wale wajinga wachache tulionao sasa unalalama ninibtokeni nchi za watu uneshindwa kuiendeleza tz unasupport mchina na mrusi si n ujinga kiwango cha lami ambao wote hawo wana roho mbay tu kwako kaoe mchina na ukaishi nae kwao kama wewe unamsaport
 
Sasa kama wewe ni nyani unataka uitwe mwandamu ya nini wakati wewe ni nyani? Kama wewe ni nyani utaitwa nyani tu na utabaki kuwa nyan na kama wewe ni mwanadamu ukiitwa nyan huwezi umia maana unanijujua wewe si nyani

Kwahiyo punguza shobo mzazi
Mkuu ukiachana na Raisi kuthibitisha hivyo, hivo ndivyo wanavyoona waafrica kutokana na ubaguzi wao, alaf nyinyi kutokana tu na mahaba yenu mnazidi kuwapenda ata mtukanwe muuawe au mudhalilishwe, mm natembea nchi nyingi najionea hivyo vitimbi vya hawa white people dhidi yetu, kuna mitaa huwezi kukatiza lazima wakushughulikie ukiwa wakati wa usiku coz tu ni Black
 
Dada Shobo ndio nn, maana nawaskia akina dada wakiongea ila sjawah kuwauliza, nakuuliza ww mwenzao kwanza
Sasa kama wewe ni nyani unataka uitwe mwandamu ya nini wakati wewe ni nyani? Kama wewe ni nyani utaitwa nyani tu na utabaki kuwa nyan na kama wewe ni mwanadamu ukiitwa nyan huwezi umia maana unanijujua wewe si nyani

Kwahiyo punguza shobo mzazi
 
Kama umewahi ona video ya wahamiaji haramu wanavyohamishwa kinguvu kwenye makaz yao na kuuwawa huko UK bas hutotaman kujua kitakachowapata wahamiaji hao kwa huyo Gaidi Trump
 
Endelea na matusi, ila ukweli ndio huo, Us inakuona ww nyani, Us haikupi misaada labda usaport Ushoga [emoji23][emoji23][emoji28], ww hapo ulipo 99% unavyotumia ni vyakichina, bila ya mchina serikali yako ingelizidi umaskini, Africa yoote inamtegemea mchina, ww mmatumbi eti na ww unampinga mchina [emoji23], Us labda kawaleteeni biblia na ukimwi tu hana chengine
Nchi gani ukienda wewe sio nyani,Urusi au Saud Arabia?
 
Marekani wapo makini sana na nchi na mambo yao kiujumla
 
Marekani wapo makini sana na nchi na mambo yao kiujumla
 
Back
Top Bottom