Marekani: Wanajeshi wa zamani na wa akiba kuongezea nguvu vita dhidi ya mdudu corona baada ya jeshi lililokuwa likipambana kuelemewa

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,919
15,604
Trump kaidhinisha wanajeshi wa ziada milioni 1 toka miongoni mwa wajeda wa akiba na waliostaafu, kuingia mzigoni ktk vita dhidi ya corona. Hiyo inajiri kwa ajili ya kuwaongezea nguvu majeshi yaliyokuwa yakiendelea na vita hiyo.

Wajeda hao watatoka ktk makundi ya Navy, Air force, Army na Homeland security. Wanajeshi hao watahudumu kwa kipindi cha miezi hadi 24 (miaka 2).

Screenshot_2020-03-28-14-47-57-1.png
 
Hao ni Wazee wa miaka 70 na kuendelea nasikia mdudu ana high affinity na wazee vibay
Trump kaidhinisha wanajeshi wa ziada milioni 1 toka miongoni mwa wajeda wa akiba na waliostaafu, kuingia mzigoni ktk vita dhidi ya corona. Hiyo inajiri kwa ajili ya kuwaongezea nguvu majeshi yaliyokuwa yakiendelea na vita hiyo.

Wajeda hao watatoka ktk makundi ya Navy, Air force, Army na Homeland security. Wanajeshi hao watahudumu kwa kipindi cha miezi hadi 24 (miaka 2).

View attachment 1402136
N

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom